msaada kwenye facebook

Bratherkaka

Senior Member
Apr 30, 2012
101
10
hello
naomba msaada ... ni deactever acount yangu kwenye facebook lakini bado sms zinakuja kwenye simu yangu!!!... sielewi..
 
hello
naomba msaada ... ni deactever acount yangu kwenye facebook lakini bado sms zinakuja kwenye simu yangu!!!... sielewi..

Mbona kama napata idea 2 hapo

Unataka kudeactivate acount fb yaani usiwe tena fb udelete

Au unataka kuji unsubscribe na fb wasikutumie text kwenye simu
 
nimesha deactivate... lakina sms zinakuja kwenye simu yangu na wote niliowatumia sms mwishoni kabla sija deactivet account...!! zinaenda kwa wote na kwangu pia..!! nafuta njia ya stop that
 
ukidactivate sms na zinaendelea kuwepo, hii hata kwenye maelezo ya diactivation wameezea pia, ila kama hutaki kutumia moja kwa zote delete tu
 
nimesha deactivate... lakina sms zinakuja kwenye simu yangu na wote niliowatumia sms mwishoni kabla sija deactivet account...!! zinaenda kwa wote na kwangu pia..!! nafuta njia ya stop that

kuna tofauti kat ya kudeactivate na kudelete a/c ya FB kama umediactivate bas activate tena af nenda kweny a/c settng then toa hizo notification zisiend kweny email au cm den deactivate.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom