Msaada kwenye blackberry

Mkolon

Member
Jul 15, 2011
20
3
Wakuu,salama
Nilitumiwa Blackberry na rafiki yangu yuko USA,nimejaribu kuweka line za hapa bongo bdo inaniambia ni insert Sim Card
Nifanyeje niweze kuitumia
watalam wa mobile Phone naomba msada wenu.
 
Ni model gani? Zipo Blackberry USA ni CDMA only?taja model ili tujue jinsi ya kukusaidia
 
Sawa mkuu,ni BlackBerry 8310 Smartphone(EDGE) kampuni ni at&t USA

Mimi nilitumiwa kama hiyo na bado inafanya kazi nilimpa mtu, lakini yenyewe ilikuwa unlocked kutoka huko huko kama iko locked then inakuwa ngumu
 
Back
Top Bottom