Msaada: Kwa watumiao genarator home tanesco ikikatika

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Habarini

Nataka niingie Kariakoo nikanunnue generator:

Tanesco ikikata umeme home kwangu nataka niwashe Generator kwa matumizi yafuatayo
  1. Taa
  2. fridge
  3. tv
Hiyo fridge sio lazima sana.

Kwa mwenye kutumia nyumbani kwake generator naomba ushauri ninunue aina gani (specifications) itakayonisaidia matumizi hayo hapo juu nyumbani kwangu.

Mi natumia generator kwa kuwasha umeme nyumbani. Nina Astra korea ya 2.5kva, nawaasha fridge, tv, taa, rice cooker wakati wa kupika. Na huwa napiga na pasi bila matatizo. Nafanya hivi kwasababu kwangu tanesco hawajafika... Sasa tatizo kubwa ni gharama ya kuendesha generator... Kwa wiki natumia zaidi ya elf 30 ya petrol... Na huwa nawasha kama masaa matatu mpaka manne max...
Juzi nimeenda kutafuta mbadala na nikagundua kwa matumizi yangu ya kila siku, solar power ya gharama ya kama 1.5m inatosha kabisa kuniokoa... Sasa nisingekuashauri utumie generator kwani gharama ni kubwa sana na pia zina kelele mno. Ukitaka kujua kelele za generator nenda kariakoo mtaa wowote uliokatika umeme, halaf pima kama utaweza zivumilia...
Hiyo astra yangu nilinunua laki4 na nusu, yaa leit ningejua ningeongeza kamilioni niasingekuwa na hizi shida...
So kifupi kwa system ya kuwaasha taa kama 8 na tv kwa masaa manne hadi matano kwa siku, we kanunuae tu solar, itakusave hata gharama ya luku.
 
Thanx mkuu kwa maoni yako. Ntayafanyia kazi
 
kama una umeme wa Tanesco, then unahitaji kuwa na Inverter Charger na Betri kama 3. Yaani utatumia umeme wa Tanesco kuchaji betri maalum ambazo utatumia up to 24hrs. Utasahau mgao for good, na ni kimya kimya. Gharama ya seti hiyo inaanzia TZS 1.6m kwa kuwasha taa, tv, feni n.k. Kasoro pasi, AC, cooker.
 
Hivi Solar unaweza kutumia 24hrs daily kukiwa na jua? Je kuna jenereta ambazo ni silencer?
 
solar za 24hrs zipo ni hela yako tu kwa kuwa zinauzwa ghari sana na silencer generator zipo lakini sio silence kabisa ila zina mlio mdogo sn km umewahi fika Magogoni ndo wanazotumia kukiwa na shida ya umeme

Thanks ngoja nijipange maana huyu ngeleja na mwenzake wa ma-guest house hawaeleweki.
 
solar za 24hrs zipo ni hela yako tu kwa kuwa zinauzwa ghari sana na silencer generator zipo lakini sio silence kabisa ila zina mlio mdogo sn km umewahi fika Magogoni ndo wanazotumia kukiwa na shida ya umeme

....Bora uangalie uwezekano wa kuanza kutumia Solar Power na kuachana na kero kubwa za TANESCO. Tumejaaliwa jua la kutosha tu hivyo badala ya kununua generator tafuta wataalam wa solar power wakusaidie.
 
Mkuu achana na magenerator.Mi nilikua na tatizo kama la kwako.Nimefunga investor ya watt zaidi ya 4000,dry bettery 2 kubwa za sollar.Investor inacharge bettery umeme ukiwepo.Umeme ukikatika natumia battery.Nimeunganisha na system ya umeme uliopo kwa hiyo hamna haja ya kufanya wiring.Natumia vitu vyote isipokua pasi na jiko.Ila pass za solar zipo,yaani za low enery zipo.Kwa hiyo hamna kelele kabisa.Mfano jana umememe umekatika mtaa mzima,mi nimekula umeme na kuangalia mechi ka,a kawaida
 
Mkuu, hebu fafanua kidogo, huenda na mimi ukaniokoa pande ya ofisini vitu muhimu vinavyotakiwa kkuwa on wakati wote ni computer desktop kama 12, laptop 6, IC 3 (hizi si lazima), dispenser 2 za maji (si lazima pia), Taa 6 za low voltage, Lasejet Printers2. Nahitaji Battery za ukubwa gani na zinaweza kunisogeza kwa muda gani? Nahitaji kitu kama backup power supply ili ngereja anapokuwa amelewa sghughuli zangu zisisitishwe, pia inakuwa nzuri kama hii kitu inakuwa automatic. Nitafurahi kama nitapata ufafanuzi kutoka kwa wadau wanaotumia mifumo hii, au nikipata fundi anayefannya hizi kazi atakuwa wa masaada mkubwa sana kwangu!
 
kama una umeme wa Tanesco, then unahitaji kuwa na Inverter Charger na Betri kama 3. Yaani utatumia umeme wa Tanesco kuchaji betri maalum ambazo utatumia up to 24hrs. Utasahau mgao for good, na ni kimya kimya. Gharama ya seti hiyo inaanzia TZS 1.6m kwa kuwasha taa, tv, feni n.k. Kasoro pasi, AC, cooker.

Asante mkuu. Hapo kwenye red, kwa hiyo unapotumia umeme wa Tanesco kuchaji batteries inamaanisha luku inakwenda kama kawa kwa kasi kubwa. Si ndio? Na bei umesema ni m1.6. Je huoni ushauri wa solar umetulia coz batteries zake hazitachajiwa na Tanesco bali zitachajiwa na solAR system ambayo inatumia jua!
 
Mkuu achana na magenerator.Mi nilikua na tatizo kama la kwako.Nimefunga investor ya watt zaidi ya 4000,dry bettery 2 kubwa za sollar.Investor inacharge bettery umeme ukiwepo.Umeme ukikatika natumia battery.Nimeunganisha na system ya umeme uliopo kwa hiyo hamna haja ya kufanya wiring.Natumia vitu vyote isipokua pasi na jiko.Ila pass za solar zipo,yaani za low enery zipo.Kwa hiyo hamna kelele kabisa.Mfano jana umememe umekatika mtaa mzima,mi nimekula umeme na kuangalia mechi ka,a kawaida

Asante kwa ushuhuda wako. Hii mavikorokoro yote yaliku-cost kama ngapi hivi?
 
Mkuu achana na magenerator.Mi nilikua na tatizo kama la kwako.Nimefunga investor ya watt zaidi ya 4000,dry bettery 2 kubwa za sollar.Investor inacharge bettery umeme ukiwepo.Umeme ukikatika natumia battery.Nimeunganisha na system ya umeme uliopo kwa hiyo hamna haja ya kufanya wiring.Natumia vitu vyote isipokua pasi na jiko.Ila pass za solar zipo,yaani za low enery zipo.Kwa hiyo hamna kelele kabisa.Mfano jana umememe umekatika mtaa mzima,mi nimekula umeme na kuangalia mechi ka,a kawaida

Kwenye red unamaanisha inverter??
 
Very Interesting topic ,naifatilia kwa umakini ,wenye info na ushuhuda tafadhali muendelee kutuhabarisha
 
Kama unaishi eneo lenye upepo mwingi na wa kutosha unaovuma mchana na usiku, nakushauri utumie wind turbines.

Wind Turbines zinatengenezwa hapa hapa nchini na vijana wa Kitanzania kwa msaada ya nchi ya Denmark kwa kutumia malighafi zetu, zinapiga kazi kwa zaidi ya miaka 15 bila gharama ya ziada.

Fuatilia link hizi kwa taarifa zaidi na mawasiliano nao.

I Love Windpower - Tanzania

Windpower Serengeti Ltd. - Home

Back
Top Bottom