Msaada kwa watalamu wa kuagiza magari na kodi zake

jacket

Member
Nov 26, 2011
7
4
Please wenye ujuzi wa uingizaji magari used toka Japan naomba msaada wenu......gharama za uingizaji tanzania huwa ngapi(approximate).....(mpaka gari linakuwa barabarani)??? mf. CIF+INSPECTION COST=2350 USD>>>>Hii ni kwa gari aina ya Ford-Fiesta la mwaka 2004, cc 1600. Natanguliza shukurani zenu!!!
 
Ingekua kwa utaratibu wa zamani ningekua kapekue gariyangu.com
But kwa sasa hiyo bei yako ya CIF hata ingekua $1,000.00 haihusiki hata kidogo kwenye kutafuta kodi.
Wao wana bei zao wakati gari ilivyokua jipya kisha wanatoa depreciation kulingana na miaka ilivyopita kisha wanapata current price to act as CIF Price.
Upo????
 
Mkuu nina calculator inayoweza kukupa makadirio ya kodi utakazolipa ila tatizo nimejaribu kuweka hapa naambiwa file type is not allowed. It is an excel file so if you are still interested let me know nikutumie kwa e-mail.
 
Thanks mkuu tatito hesabu zilinipita pembeni hiyo kitu ipo kwenye website ya TRA tatizo sijajua namna ya kuitumia!!
 
Thanks mkuu tatito hesabu zilinipita pembeni hiyo kitu ipo kwenye website ya TRA tatizo sijajua namna ya kuitumia!!

Haina mikwara mingi mpaka kutumia "Four Figure",
Hata MAGAZIJUTO nayo huijui mkuu?
 
Naomba kuuliza pia ingawa inawezekana pasiwe mahala pake. Hivi kwa mfanyakazi wa Serikali, ukiagiza gari la zaidi ya miaka 10 unaweza kuomba msamaha wa kodi na ukapata au ni lazima gari liwe chini ya miaka 10 ndo uwe eligible kupata huo msamaha.
 
Mkuu nina calculator inayoweza kukupa makadirio ya kodi utakazolipa ila tatizo nimejaribu kuweka hapa naambiwa file type is not allowed. It is an excel file so if you are still interested let me know nikutumie kwa e-mail.
Thanks mkuu tatito hesabu zilinipita pembeni hiyo kitu ipo kwenye website ya TRA tatizo sijajua namna ya kuitumia!!

Mkuu this is different. Ni VB software niliyoitengeneza mwenyewe kwa kutumia excel. You just need to know the year the car was made, the vehicle model and your freight charges and the software will do the rest.
 
Database ya TRA haina gari aina ya Ford Fiesta. The closest match was a Ford Focus. The PDF attachment shows you a rough estimate of the taxes you will be required to pay.
 
Attachments

  • TRA Taxes.pdf
    179.6 KB · Views: 242
You might need Office 2010 to run the program
 
Attachments

  • TRA CAR TAXES COMPUTATION.rar
    263 KB · Views: 186
Thanks Shaka...kumbe huu mkoko hadi uingie hapa mjini utakuwa ushanifilisi saaana!!!!! Mie nilidhani kodi haitazidi bei niliyonunulia yaani CIF!
 
Naomba kuuliza pia ingawa inawezekana pasiwe mahala pake. Hivi kwa mfanyakazi wa Serikali, ukiagiza gari la zaidi ya miaka 10 unaweza kuomba msamaha wa kodi na ukapata au ni lazima gari liwe chini ya miaka 10 ndo uwe eligible kupata huo msamaha.

Wakuu mwenye kujua hili atujuze basi
 
Acha utani embu nenda kwenye mashow room bana sasa akila mtu akiagiza yale ma godown tutalipa naa nini??
 
Asante sana kwa hiyo calculator! It is very useful ili mtu apige hesabau kabisa kabla hajaagiza gari
 
Back
Top Bottom