Msaada kwa wanaofahamu mila za Tanga ...Plzzzz!!!

Gody

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,246
411
Jaman mwenzen mimi niko Dom sasa nimepata mke hukoo Hukoooo Uziguani
sasa leo shangazi mtu anakuja kupanga mahali,
sasa sisi upande wetu hatujui nini kinahitajika maana familia yangu hakuna anayejua mila za huko kuwa nini wanadai upande wa mke
mfano: blanket,mkongojo wa babu, kanga za bib nk..
Sasa nisaidien kwa tanga
 
Nisaidieni mwenzenu familia yetu mixer wanyaki na wagogo
 
Jaman mwenzen mimi niko Dom sasa nimepata mke hukoo Hukoooo Uziguani
sasa leo shangazi mtu anakuja kupanga mahali,
sasa sisi upande wetu hatujui nini kinahitajika maana familia yangu hakuna anayejua mila za huko kuwa nini wanadai upande wa mke
mfano: blanket,mkojo wa babu, kanga za bib nk..
Sasa nisaidien kwa tanga

Mkojo wa Babu ni kiswahili sahihi? Wengine siyo wataalam wa lugha.
 
Si usubiri watamke wanachotaka. Au ndo mambo ya pressure. Lol. Mahari hazina formular ni familia na familia, binti na binti; mahari alotzwa mume wangu si alotozwa mume wa mdogo wangu. Subiri watamke; ikiwa kubwa you can always negotiate
 
We acha tu nipo mixed up vibaya!

Huna haja ya kuchanganyikiwa mkuu unless kama una wasiwasi kwamba ataweka cha juu,lakini ninachojua ni kuwa kama wakitaja mahali always there is a room kwa ajili ya kujitetea ukizingatia siku hizi watu wamekaa kimaslahi zaidi kuliko mila na desturi,usichanganyikiwe,be bold whatever comes,au unaweza muuliza mchumba ako akuibie siri kimtindo
 
Si usubiri watamke wanachotaka. Au ndo mambo ya pressure. Lol. Mahali hazina formular ni familia na familia, binti na binti; mahali alotzwa mume wangu si alotozwa mume wa mdogo wangu. Subiri watamke; ikiwa kubwa you can always negotiate

mwanzo baba mtu nilimpigia simu akanambia sisi tunatakiwa tujpange na mambo ya kimira yaani vinyago
 
Huna haja ya kuchanganyikiwa mkuu unless kama una wasiwasi kwamba ataweka cha juu,lakini ninachojua ni kuwa kama wakitaja mahali always there is a room kwa ajili ya kujitetea ukizingatia siku hizi watu wamekaa kimaslahi zaidi kuliko mila na desturi,usichanganyikiwe,be bold whatever comes,au unaweza muuliza mchumba ako akuibie siri kimtindo

yaani huku dom shem wako yupo kwa ndug sio watanga lkn kapga sim kwao kwa baadhi ya ndug wamemjib juujuu tu!! Af baba mkwe kamuuliza mwanae kuhusu mahali
yaan mchumba wangu ndo ataje af baba mtu ndo atasema kama sawa au laaaa!!
Ndo maana nilitaka wanaojua wanijuze kuwa hata mahali mwanamke anahusika na kama anahusika si atakuwa upande wangu?
 
Nakwambia nipo kwenye hic my d. Ndo kampokea shangaz yake sasa mi nipo siti ya nyuma ka shusik vile!
 
Lazima uwe na mshenga ambaye ni mtanga, utaumbuka. Kupeleka mahali sio kujibebea hela tu wana namna yao ya kupeleka sijui inawekwa kwenye kitambaa, I am not sure. Huyo mchumba anaweza kuwasaidia.

Watafute wenyewe!
 
Wakuu nashukuru kwa mawazo yenu
lakn hapa ndo najiandaa kwenda kupewa mke nilivyoulamba utafkir sio mm
kudadek lazma nipewe wanan'jua wanansikia
my anaendelea kuniibia siri!
 
Jaman mwenzen mimi niko Dom sasa nimepata mke hukoo Hukoooo Uziguani
sasa leo shangazi mtu anakuja kupanga mahali,
sasa sisi upande wetu hatujui nini kinahitajika maana familia yangu hakuna anayejua mila za huko kuwa nini wanadai upande wa mke
mfano: blanket,mkongojo wa babu, kanga za bib nk..
Sasa nisaidien kwa tanga

are you serious? hivi kweli unataka kuoa huko au umetunga story tu ili watu wajadili mila za tanga?
Sioni kwa nini usimuulize huyo mwenza wako? hizo mila ni za kwao kwa nini asindwe kuzijua?
 
Nashukuru sana wakuu kwa ushaur wenu na mawazo yenu na
namshukuru sana Mungu nilimaliza salama mambo yalikuwa slope hata skuamin na nilivyotegemea! J4 naenda kumchukua my wife
 
Tanga hawana kwere,wewe tu,in general watu wa pwani hawa complicate issues,siyo kama watu wa bara,utaambiwa blanketi la shangazi,bibi,ba-mkubwa ,makaa,wajomba etc.sasa tanga hamna baridi ya mablanketi.

inshort,siku hizi watu mila ni mshiko tu,e.g tangazo la Tembo Card, na ukileta hivyo vitu hawafurahi kwani walikuwa wanatka mbadala wake .aka PESA,ndio uhalisia .hamna zaidi,wakikuzingua tia mimba,then negotiation inabadilika,unalipa faini tu.

all the best
ila for my Daughter mtu akija ajiandae na TEMBO, na siyo Tembo Card Visa,ni TEMBO mnyama a.k.a ze Elephant with Tusk
 
Back
Top Bottom