ProBook
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 558
- 257
Kwa brothers and sisters mliosoma hiyo course hapo juu nlikuwa naomba kuuliza kitu kuhusu hiyo course sababu nimeona kwa UDSM na Ardhi ni miaka 4 lakini kwa St Agustine ni miaka 3,sasa nlitaka kujua je kuna ubora tofauti wa ufundishaji kutoka kwenye hivyo vyuo na je kama kuna utofauti chuo kipi ni bora zaidi kati ya vyote na soko la ajira kwa hiyo course likoje,,
Asanteni sana
Asanteni sana