Msaada kwa waliochaguliwa UDSM

kagarukiG

Member
Aug 22, 2012
59
4
Kulingana na maelekezo waliyoyatoa kwenye website yao ni kwamba admission letters kwa wale wa hapa dsm tunaweza anza kuchukuwa tarehe 29 mwezi wa 9. Je kuna mtu ameshaenda kuchukua????
 
Mimi pia nina swali kuna ndugu yangu kachaguliwa hapo lakini hakwenda jeshini...je kuna uwezekano wa kuzuiwa kujiunga na chuo?
 
Hakuna uwezekano hata kidogo kuhusu hilo. Kama tayari ameshapata chuo aende chuo tuu.##nifah
 
Kulingana na maelekezo waliyoyatoa kwenye website yao ni kwamba admission letters kwa wale wa hapa dsm tunaweza anza kuchukuwa tarehe 29 mwezi wa 9. Je kuna mtu ameshaenda kuchukua????

admission form zinatolewa pale Nkrumah hall, kuanzia leo hakuna complications kwa aliyechaguliwa pale
 
na vipi kuhusu hawa wanafunzi walochaguliwa kujiunga na vyuo na majina ya mkopo hayajatoka?
kuna ndugu yangu amechaguliwa mlimani lakini bado hajaelewa afanye nini kwa sababu aliapply mkopo na hajapata uhakika kama alipata au amekosa!
 
atapata! Ila awe na rubira!
 
Hello Brothers and Sisters!Hongereni kwa Kuchaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu Bora Tanzania na Afrika kwa ujumla.Hoja zenu nimeziona, naomba kuwapa majibu sahihi maana mimi ni mtangulizi wenu chuoni hapa. Kuhusu ADMISSION FORM, zinapatkana kwenye website ya chuo, lakini si vizur kutumia hiyo maana ile ni general, kuna vitu vinapungua mfano REG. NO YAKO. Nenda chuoni uchukue Bahasha yenye fomu iliyokamilik. Form hiyo ina maelekezo yote pia imeambatanishwa na MEDICAL EXAMINATION FORM. Wakati unaifata nenda na kitambulisho chochote au cheti chenye majina na picha yako halisi. Ukisha chukua nenda kwa Dr. Akujazie form ya Afya, then fanya malipo ya Ada, direct cost ambayo ni kama 78000/-, ada ya Hostel. Kisha ndo uende kuanza taratibu za Regsration.Mind you kidogo taratibu za USAJIRI ZINAKERA hususani kwa Cozi zenye watu wengi, hivyo nakusihi kuwa mvumiliivu na kujitahd kuomba ushaur kwa wazoefu.ASANTENI. NITAFUTE KWA MAELEZO YA ZIADA0756628773 (WHATSAPP)0715013314 (CALLS ONLY)KIONA MBALI is my Famous name.BED. PSYCHOLOGY-UDSM.
 
Nashukuru sana kwa ufafanunuzi mziri kaka. Mimi tayari nimechukuwa ila kwenye hii letter sijaelewa ni wapi nawza pata namba yangu kwani baada ua kuchukuwa nilienda kupiga picha tuu kwa ajili ya kitambulisho. Je hii namba ipo? Na kama ipo ndio ipi kaka?
 
Ipo juu imeanza: your Ref.....2014-05.......Nitafute kwenye simu tupeane maelekezo vizuri. Asante na karibu
 
Back
Top Bottom