Msaada kwa wale wajasilia mali au wanaopenda kuwa wajasilia mali:

Pelham 1

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
548
99
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS ni Kampuni inayodeal na Adversing,Promotion,Entertainment,Publishing na Modeling Pia inatoa msaada kwa wale Wajasiliamali wanaotaka kusaidiwa kufungua Kampuni kuanzia process za mwanzo mpaka kukamilika nikimaanisha kuanzia Jina la biashara,Tin namba na mwisho kumalizia na Lesseni.Nimeshasaidia kusajili Kampuni za Wajasiliamali wengi kupitia JamiiForums kama Nguvumali Finance,Liberty Media Company ltd,Majuki Traderz, nk. Kwa maelezo zaidi: 0714-074040,0767-074040, 0783-074040
 
Mkuu toa vitu vinavyoe eleweka, unatakiwa kuweka na mchanganuo kabisa mfano:

1. Kusajili kampuni process zote kuanzia kupeleka jina kusechiwa, kuandaa memo na artcal kupeleka kwa wakili na kazalika bei yake ni

2. Mtua akiwa ameandaa memo yake na artcal bei ni

3. mkimunadalia kila kitu bei yake

4. Na lazima muweke ghalama tofauti na zile za brela nake za brela zinaelekweka kabisa na zinategemea na capital ya anayesajili kam puni
 
Weka gharama za kufungua kampuni ndogo na limited.

Wakuu gharama zinategemea na aina ya Kampuni unayotaka kusajili kwani kwa ni kuna Individual,Partinership na Limited Company pia ninacharge kutokana na mda unaohitaji itoke kama ni siku 2, 3, Wiki au Mwezi hivyo vyote inahitaji maelewano, Yeyote ambaye yupo interested anicheck kwenye "mawasiliano niliyoweka naamini tutasaidiana kwa kila hali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom