Msaada kwa wajasilimali

Nimeshayamaliza nimemwaomba msamaha nikigombana na shemu nagombana na wewe pia which I cant afford u kno wora I mini?

Yeah I noo wara ya mean. Now lets go back to the perimeter before its too late! Hahahaha!
 
habari zenu kwa wote!mimi newcomer kwenye blog hii ya jamii,lakini ni mpenzi wa blogu hii siku nyingi nisiongeee mengi,wajasilimali nilikuwa naomba ideas tofauti za kibiashara nilikuwa nafikiria siku moja nitaanzaa biashara ya export/import kutoka UK kwenda TANZANIA labda mngenisaidia ni bidhaa gani kutoka nyumbani kuja UK na kutoka UK kuja bongo ambazo ni marketable na supplier sio wengi.....ahsanteni.

Mkuu bigjeff,

Karibu sana hapa jamvini.

Sasa wazo lako zuri ungelianzia na pale Ubalozini ambapo pana kitengo kiitwacho Tanzania Trade Centre.

nafikiri unafahamu ilipo ofisi ya ubalozi wetu.

Pale utaweza kumwona mkurugenzi wake bwana Y. Kashangwa au walio chini yake na wao watakupa "all necessary information" kuhusu "exporting na importing procedures" ukiwa UK.

Kama kutakuwa na longolongo nyingi basi ingia website ya serikali ya UK iitwayo http://customs.hmrc.gov.uk/channels....portal?_nfpb=true&_pageLabel=pageImport_Home.

Hapo soma maelezo yote muhimu mwenyewe na anza ujasirimali kwa ari mpya kasi mpya na nguvu mpya.
 
Sasa jamani mbona mnadiscuss kitu ambacho huyu jamani ajauliza au kama vp mjibuni then muendelee na mada nyingine, ukiona mtu kaandika hapa kuomba msaa ujue ni kweli ana shida. Pamoja sana wana JF
 
Sasa jamani mbona mnadiscuss kitu ambacho huyu jamani ajauliza au kama vp mjibuni then muendelee na mada nyingine, ukiona mtu kaandika hapa kuomba msaa ujue ni kweli ana shida. Pamoja sana wana JF

Lol! Afadhali yako we umemjibu vema! Cheers!
 
Sasa jamani mbona mnadiscuss kitu ambacho huyu jamani ajauliza au kama vp mjibuni then muendelee na mada nyingine, ukiona mtu kaandika hapa kuomba msaa ujue ni kweli ana shida. Pamoja sana wana JF
Tusamehe Bosi,Lakini ndio raha yenyewe wakati mwingine.ila haturudii
 
Hahaha hii ndio out of key by 100% Wakiamka wale jamaa, tunalo wapwa.
lakini sipo mbali sana na mada.kwasababu mwenzao yupo hapa tulikula nae sana maji pale ki-stone NI MJASILIAMALI mzuri tu.na ukweli tunamshauri vizuri tu.tehe tehe tehe,shemeji vip unaipata key hapo,tuanze kurecord track?
 
Chrispin, Nguli, Ziondaughter, Geoff.....

Acheni usx-ngx

Jamaa kaanzisha thread yake nyinyi kama kina nani mje hapa kuharibu, kama Vipi anzisheni thread yenu, au tumianeni PM, NO INAKERA.
 
Ngoja nami nijirejeshe kwenye phase. Hahahaha! Bwashee bana!
 
chrispin, nguli, ziondaughter, geoff.....

Acheni usx-ngx

jamaa kaanzisha thread yake nyinyi kama kina nani mje hapa kuharibu, kama zipi anzisheni thread yenu, au tumianeni pm, no inakera.

abomination!
 
Chrispin, Nguli, Ziondaughter, Geoff.....

Acheni usx-ngx

Jamaa kaanzisha thread yake nyinyi kama kina nani mje hapa kuharibu, kama Vipi anzisheni thread yenu, au tumianeni PM, NO INAKERA.

Iwapo X = E! Lol! Hivi hospitali ya Mirembe iko wapi vile? Kuna mtu anahitaji tiba humu ndani.
 
Chrispin, Nguli, Ziondaughter, Geoff.....

Acheni usx-ngx

Jamaa kaanzisha thread yake nyinyi kama kina nani mje hapa kuharibu, kama Vipi anzisheni thread yenu, au tumianeni PM, NO INAKERA.

Asante kaka,ila jitahidi na wewe tusikutoe nje ya mada.usije na wewe uka wa usx-ngx
 
Kwani huyo ms-x ng-x ni he au she?

huyu ni SHE!nitamtafutia kazi ya uhudumu wa baa pale chawote!infact ile baa wahudumu wake ni computer-literate kama yeye!anafaa huyu.tene amenona kweli.ana kiuno kama dondola
 
Back
Top Bottom