MSAADA kwa TUTA!

Mjanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
1,238
324
tafdhalini wadau wa JF naaomba muongozo
wa taratibu za kufuata ili kuweza ku-renew
LESENI ya UDEREVA (Driving License)! yangu
inakwisha muda wake na pia ni ile ya zamani
so nataka nipate mpya!
aksanteni sana!
 
Unajua kusoma?
 
nenda TRA kachukue TIN number na baada ya hapo maelekezo utapata huko huko
 
NENDA TRA
1. watakupa fomu ya kujaza kuomba ku -renew leseni yako- lazima uwe na TIN na leseni yako ya zamani na photocopy yake ( TIN Namba ipo kwenye kadi yako ya usajili wa gari)
2. Baada ya kujaza fomu utachukuliwa finger prints na picha yako hapo hapo TRA
3. Utakwenda Trafiki kupewa madaraja
4. Utarudisha formu TRA tena kurikodi hizo groups
5. Utarudi tena Trafiki for noting
6. Utarudi TRA kupewa fomu ya kulipia gharama za hiyo leseni yako mpya benki (gharama ni Tshs 40,000/= kumbuka kubeba kiasi hiki kwa ajili ya kulipia)
7. Utawasilisha TRA risiti uliyolipia benki nakupewa leseni yako mpya siku hiyo hiyo au kesho yake.

HAKUNA USUMBUFU. au UTAPELI .

MUHIMU: NENDA MWENYEWE

LIPA KODI KWA MANUFAA YA MAFISADI
 
asante! lakini nahitaji halali si maghumashi!!

Kwani me nimekwamnia hiyo ni maghumashi??? labda hukunielewa vizuri Nilikua namaanisha utafute trafic akupatie myongozo wa nini cha kufanya sababu wao wana yelewa zaidi. ila mchangiaji hapo juu kasha kupa ushauri mzuri hebu ufanyie kazi kwa lkufika TRA.
 
Thank Yo kwa sana!

Back
Top Bottom