MSAADA: Kwa mwenye kumfahamu huyu

Mwanakili90

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,568
245
Emmanuel Nyamusika,

ambaye

started working on the Geita project back in 1994,
at which stage the project was
owned by Cluff Mining
Company. In 1996 Cluff was
bought by Ashanti Goldfields,
and then in 2004 Ashanti and Anglogold merged to form
Anglogold Ashanti.

Napia,

has a BSc in Geology from the University of
Dar Es Salaam. He obtained his
MSc in Mineral Production
Management from the
University of London (Imperial
College) in 2001, and went on to complete his Management
Development Programme at
the University of Cape Town in
2005.

Nilikuwa naitaji kusaidiwa contact zake kwa yoyote anayemfahamu.
Natanguliza shukrani.
 
Heri ungetafuta mawasiliano na ofisi ya Ashant Godmine; kule itakuwa ni rahisi kupatikana hata kama atakuwa ameshaacha kazi. lakini huenda wapo marafiki zake ambao watakusaidia.

humu JF, watu watakuwa na mashaka kukupa contact details, kwani haieleweki unamuhitaji kwa sababu ipi, natutakuwa na uhakika gani wa kiusalama.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!!
 
Ushauri kwa wakati mwingine...

Kama huyu ni rafiki yako, na umeona hii post na haijasema kuna mchongo, kanitapeli au umepotezana. Wewe ungeifikishaje hii taarifa? huoni kama unajihakikishia kutompata?

Kwa kaupeo kangu nimeona niseme hili. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom