msaada kwa mwenye Adobe PDF

andy mchokozi

Member
Jan 25, 2012
42
5
Yeyote mwenye Adobe PDF ile wanaotumia ku editia vitabu na magazeti jamani tujulishane, kwani nimehangaika sana kuitafuta
 
kuna adobe pagemaker ambayo siku hizi inajulikana kama indesign, ndio hiyo unayomaanisha? Adobe wana software nyingi sana ili hiyo pdf uliyotaja ni kwa ajili ya kusomea files ambazo zipo ktk format hiyo.
 
Back
Top Bottom