Msaada: Kwa mwanaJF yeyote aliye karibu na Ubunguo Bus Terminal

GM7

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
492
24
Helo wakuu,

Nimelazimika kuandika thread hii kutokana na usumbufu ninaoupata karibu kila siku simu yangu inapokuwa wazi.

Mara nyingi huwa napigiwa simu zinazoulizia kuondoka kwa usafiri wa mabasi fulani hapo stendi ya Ubungo. Wengi huwa wananiuliza "Gari fulani imeshaondoka hapo Ubungo?" Na mimi huwa najibu kwanza mimi niko Mbeya siko Dar.

Baada ya kuona kila siku watu wanaulizia usafiri ndio nikamuuliza mmoja kuwa amepata wapi namba yangu ya simu, akanijibu hiyo namba imeandikwa kwenye tiketi ya basi hilo.

Msaada:
Kama kuna mwanaFJ yeyote ambaye yupo hapo Stendi ya Ubungo au huwa anaenda mara nyingi hapo Ubungo Bus Terminal namuomba anitafutie namba hiyo ya simu au tiketi ya basi hilo ambayo namba yangu imeandikwa ili niwasiliane nao nione kama kuna uwezekano wa hao wenye tiketi kufanya marekebisho ya namba hiyo ya simu, Sina uhakika kama namba za simu zinaweza kugongana. Lakini pia nikizima simu yangu na kupiga namba hiyo kwa kutumia line nyingine naambiwa haipatikana.

Namba yangu yenyewe kwa kuficha tarakimu mbili kwa alama x ni 0713 2xx891
 
waulize haohao abiria, hiyo ticketi ni ya basi gani?....utarahisisha kazi, sidhani kama kuna m2 Jf anaweza kufuatilia namba inayokusumbua wewe UBT!!
 
Mkuu, unatupa bure hela hiyo...Hiyo ni biashara nzuri sana umepata, usipanic...Wasiliana na bht akuelekeze!
 
Nashukuru kama umeenda ngoja niiweke hewani lakini msinibipu, 0713 287891
umeanika namba yako unatafuta marafiki kijanja au umetumwa wewe?

Unajua wazi kwamba kama kuna double line haiwezekani zikafanya kazi at same time. nimejaribu hivyo nikaenda tigo kuomba namba niliyonayo (sijaisajili) wakasema namba ina mtu ila imezimwa. Nakupa ushauri wa bure. Piga simu 100 watakupa maelekezo namna ya kumpata technical advisor akusaidie kupata ufumbuzi. Kama tatizo likizidi mtafute mwanasheria uangalie uwezekano wa kufungua madai ya tresspass kwenye vyombo vya sheria
 
Ukiitaji msaada kuwa mpole kubali lolote waweza pata mchumba thr ur no
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom