Msaada kwa mkaka

Hamjambo wapendwa, hope wote mmeamka bien, kwa wagonjwa na matatizo mbalimbali poleni. Leo nimepata kisa kimenitatiza kidogo naomba kushare nanyi wapendwa tumsaidie huyu ndugu. Huyu mkaka amezaa na mke wa mtu bila mume kujua na wote wanaendelea kumtunza mtoto sasa ana umri wa miaka mitano. Tatizo mdada anaogopa kusema ukweli kulinda ndoa yake, na mkaka (mwizi) anataka atambulike kwa mwanae japo na yeye ana mke.Mke wa mwizi keshaelezwa kuna mtoto nje kakubaliana na hilo japo hajui ni wapi/ kwa nani. Na familia ya mdada inajua kila kitu.Familia ya kiume na mke wa mwizi imekomaa inataka kumuona huyo mtoto. Mume wa dada hana ajualo. Nisaidieni kaka aanzie wapi, na familia ya mkaka mwizi na mdada ni marafiki toka udogoni..

Nawasilisha.

Rest In Peace Love.....
 
hamjambo wapendwa, hope wote mmeamka bien, kwa wagonjwa na matatizo mbalimbali poleni. Leo nimepata kisa kimenitatiza kidogo naomba kushare nanyi wapendwa tumsaidie huyu ndugu. Huyu mkaka amezaa na mke wa mtu bila mume kujua na wote wanaendelea kumtunza mtoto sasa ana umri wa miaka mitano. Tatizo mdada anaogopa kusema ukweli kulinda ndoa yake, na mkaka (mwizi) anataka atambulike kwa mwanae japo na yeye ana mke.mke wa mwizi keshaelezwa kuna mtoto nje kakubaliana na hilo japo hajui ni wapi/ kwa nani. Na familia ya mdada inajua kila kitu.familia ya kiume na mke wa mwizi imekomaa inataka kumuona huyo mtoto. Mume wa dada hana ajualo. Nisaidieni kaka aanzie wapi, na familia ya mkaka mwizi na mdada ni marafiki toka udogoni..

Nawasilisha.

haya ndio madhara ya dhambi!
Mungu atusaidie na atulinde tuondokane kwenye hili shimo la dhambi
 
Hamjambo wapendwa, hope wote mmeamka bien, kwa wagonjwa na matatizo mbalimbali poleni. Leo nimepata kisa kimenitatiza kidogo naomba kushare nanyi wapendwa tumsaidie huyu ndugu. Huyu mkaka amezaa na mke wa mtu bila mume kujua na wote wanaendelea kumtunza mtoto sasa ana umri wa miaka mitano. Tatizo mdada anaogopa kusema ukweli kulinda ndoa yake, na mkaka (mwizi) anataka atambulike kwa mwanae japo na yeye ana mke.Mke wa mwizi keshaelezwa kuna mtoto nje kakubaliana na hilo japo hajui ni wapi/ kwa nani. Na familia ya mdada inajua kila kitu.Familia ya kiume na mke wa mwizi imekomaa inataka kumuona huyo mtoto. Mume wa dada hana ajualo. Nisaidieni kaka aanzie wapi, na familia ya mkaka mwizi na mdada ni marafiki toka udogoni..

Nawasilisha.

Tangulia mwanajamii mpendwa Chetuntu. Tutakumiss lakini katika Kristo tutaonana milele, Aaamina.
 
wanaume tuna kazi!!!!!!!!!!!! Ndio maana waswahili wanapiga sana gahawa jioni kuepuka maudhi kama haya,ukiwa hushughuliki hata umnunulie V8 au Range 2011 Model, atakuwa anavutwa na hivyo vijamaa -aaaahgh
 
Mkuu Mungu kamuita muanzisha maada, sasa hayupo tena duniani. May she rest in peace.
 
Hii ngumu sana majibu lazima yawe tata na mume halali akijua kwa namna yyote ile ni talaka tu
 
kweli kaz ipo hapo wanawake wa siku hizi ni mabom tu yakilipuka ndo shida hapo du unalea mtoto sio wako inauma sana
 
Tutakukumbuka kwa mawazo yako ila tunakukumbua na zaidi tutakuenzi kwa yale mema.tulikupenda mungu amekupenda zaidi.upumzike salama.REST IN PEACE
 
hizi kesi zinahuzunisha sana lakini sio mwizi kwa mfano kunajamaa yangu anamtoto ana miaka 15 na mtoto amemaliza darasa la saba mwaka huu. lakini baba anaye lea anajua ni mtoto wake lakini jamaa huyu ndiye mtoto wake hata mama yake huwa anamwambia mtoto kuwa jamaa ni mjomba wake akionana anamwita mjomba. Na mapaka sasa wanampango wakumpeleka mtoto shule hata kama akishindwa mtihani jamaa yuko radhi kumpeleka private.
 
Hamjambo wapendwa, hope wote mmeamka bien, kwa wagonjwa na matatizo mbalimbali poleni. Leo nimepata kisa kimenitatiza kidogo naomba kushare nanyi wapendwa tumsaidie huyu ndugu. Huyu mkaka amezaa na mke wa mtu bila mume kujua na wote wanaendelea kumtunza mtoto sasa ana umri wa miaka mitano. Tatizo mdada anaogopa kusema ukweli kulinda ndoa yake, na mkaka (mwizi) anataka atambulike kwa mwanae japo na yeye ana mke.Mke wa mwizi keshaelezwa kuna mtoto nje kakubaliana na hilo japo hajui ni wapi/ kwa nani. Na familia ya mdada inajua kila kitu.Familia ya kiume na mke wa mwizi imekomaa inataka kumuona huyo mtoto. Mume wa dada hana ajualo. Nisaidieni kaka aanzie wapi, na familia ya mkaka mwizi na mdada ni marafiki toka udogoni..

Nawasilisha.

Daaaah
Kweli duniani sio kwetu
 
Jee huyu kaka alieibilwa ana Silahaa? Chonde chonde hali inaweza kuwa mbaya sana haopo......inaitajika counseling ya hali ya juu kwanza.
 
Back
Top Bottom