Afyayaakili
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 903
- 1,173
Nilichaguliwa st joseph dar kimakosa sababu mi nimepiga arts,lakini baadae nikaenda tcu wakaniambia wamenibadilisha niende Udom Baed in ICT lakini profile yangu bado inaniandikia nipo admitted st joseph na chuo cha st joseph wamenitumia joing instruction kwa njia ya posta.Na kinachoniumiza zaidi nikitaka kulog in kwenye website ya udom ili nipate admission letter inagoma,ushauri wenu washika dau wa jmf.