msaada kwa blackberry torch na bbm

ngarambe

Senior Member
Apr 15, 2012
100
14
Nimedownload bbm kwenye cm yangu lakini cjui kuchat wala kufanya chochote,,,,, zaidi naishia tu kwenye facebook..... Naomba msaada maanacjawahi kuchart wala kutumia bbm......tafadhali sana nisaidieni
 
hapo ni lazima utafute mtu mwenye bb massenger kama wewe kisha umu add au yeye aku add kwa pin no ili muweze kuwasiliana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom