Msaada kwa anayefahamu sociology!

Ragnar Fluke

JF-Expert Member
May 22, 2012
374
115
Wanajf mimi nmebahatika kuchaguliwa kwenda kusoma b.a sociology pale UDSM ukiachilia mbali presha ya kupata au kukosa mkopo bado sijajua itansaidia vp maishan wapi ntapt kaz n mengine mengi hapa nawaza kubadilisha kozi. Kwa yeyote mwenye ufaham naomba msaada! Kumbuka sikuichagua but nmepangwa tu!
 
Natanguliza samahani,kuna m2 amepangwa hivyo kama wewe na mshua wake anapiga HESLB ameniambia hajapata kitu,yani katoka kapa na kuhusu kazi mara nyingi ni ustawi wa jamii.
 
Unatakiwa kusoma na kufaulu kwa kiwango cha juu, gpa kubwa kuanzia 4.0 kazi zitakutafuta badala ya wewe kutafuta
 
Kazi zipo nyingi mdau usihofu kwani sociology ni pana na ina deal zaidi na maisha ya kila siku ya mwanadamu hivyo deal ni nyingi kikubwa ni wewe kujiandaa kisaikolojia kwamba unapokwenda Chuo ni kupata maarifa mapya na ya ziada kuhusu fani flani ambayo utayatumia katika kupambana na changamoto zilizopo uraiani na si lazima uajiriwe. Ila wengi wanaosoma socialogy huwa wanakuwa Maafisa Maendeleo ya jamii, wengine wanakuwa mabwana labour na wengine wafanya biashara na wajasiamari kutokana na uwezo wao wa kuifahamu jamii hivyo wanakuwa na mbinu za ziada za kutambua maisha ya kila siku ya mwanadamu pamoja na uwezo wa kuangalia fursa zilizopo kwenye jamii.

1. study of society: the study of the origin, development, and structure of human societies and the behavior of individual people and groups in society
2. study of individual social institution: the study of a particular social institution and the part it plays in society
 
Sociology is a study of society, society ni pana sana, hivyo kazi ni nyingi kila engo sociologist anahitajika.
 
Hiyo nayo imekuwa everyone's, tegemea ushindani katika ajira manake mfumo wenyewe hautufundishi kujitengenezea ajira bali kuajiriwa!!!!
 
Back
Top Bottom