Msaada kwa aliyesoma Database administration na yeyote anayejua hii.

dottoz

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
1,510
868
Msaada jamani kuhusu database administration..vp hii inakuweje?..na kaz zake zpo?
 
kama unataka kusomea hiyo wewe soma computer science coz utafaham hiyo database admn na pia na vitu vingi.
 
kama unataka kusomea hiyo wewe soma computer science coz utafaham hiyo database admn na pia na vitu vingi.

mkuu mie nataka kusomea 2 hyo k2 basi ili niwe na cheti chake kzuri vp kuhusu ajira zake?
 
Back
Top Bottom