Msaada kwa Adsense account

Mr. madevu

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
432
74
Nimejaribu kujisajili kwa Google Adsense ila wamegoma kwa sababu ya lugha pamoja na na post zangu zina picha nyingi.

Nifanye nn ili niweze kuweka Adsense kwenye blog ya Kiswahili?
 
Kamwe huwezi weka google adsense kwenye blog ya kiswahili cha kufanya hapo futa post zote za kiswahili alafu uwe unachapa habari ya kiingereza yenye maneno zaidi ya 500 kila siku jitahidi kupost hata habri 3 ukimaliza wiki jaribu ku-apply tena google adsense
 
Asante kwa ushauri ndugu. Je baadae usajili nikikubalika naweza apply hizo code kwenye blog ya kiswahili? Maana nimepitia blog nyingi za Kiswahili nimekuta wanapata Ads kutoka Google.
 
Jaribu Huone Adsense sasa hivi hawataki mchezo kabisa yaani uki vunja sharti hata moja tu hakuna msamaa hata kama una 10000000 kwenye akaunti, unafungiwa na pesa huzipati unapo pita unakuta adsense kwenye blog za kiswahili hao wame tumia ujanja na ikigundulika unafunguwa, Achana na blog za Kiswahili hazilipi Ndugu Hebu chek MM Hapa CHini
13000077_221962161511168_2295562086900608522_n.jpg
 
Kuna aina mbili ya AdSense account Normal na Premium Adsense account, ukiwa na premium account unaweza weka hata kwa kiswahili haina shida na masharti yanapungua mno tofauti na mwenye account ya kawaida.
 
Hapo naanza pata mwangaza. Hio premium acc. inalipiwa au ni bure kama hii normal? Na ni bei gani? Je procedure za kujiandikisha ni hizi hizi za normal acc?
 
Premium acc hailipiwi wao AdSense ndo wanaoamua wakupe premium acc,kuna vitu vingi wanavyofanya AdSense wampe mtu premium acc,baadhi ni ubora wa website/blog,idadi ya watembeleaji ni kuanzia 300000-1000000 kwa siku.Aina ya habari unazoandika nk.
Faida ya kuwa na hii account
1.Page RPM na CPC inakuwa kubwa ,mauzo huongezeka sana.
2.Unaweza kuweka matangazo zaidi ya 5 kwenye page moja.
3.Sio rahisi sana kukufungia kwa sababu kwako hawakazi sana.
4.Ni rahisi kufanya mawasiliano nao na kufanya negotiations za bei na nk.
5.Unaweza kuongeza ukubwa wa Matangazo kwa kuadjust codes. Nk
 
Nimekuelewa boss. Kwa mtu anaeanza inabidi ujitume sana mpaka ufikie level hizo.
Ila nimeambiwa na mdau hapo juu kuwa naweza kupata template ambayo itakua inakubali kiswahili bila wao kishtukia. Je ni kweli
 
Huwezi kufanya kitu AdSense wasikushitukie,sema wanaangalia na uzito wa kosa,kupost kiswahili haina madhara kwao sema kwako matangazo hayata onekana kwenye post za kiswahili,pia hakuna template iliyoandaliwa rasmi kwa ajili ya post za kiswahili .
 
Sawa kaka. Kwa hio suluhisho pekee kwa mm mwenye na blog ya kiswahili ni nn? Au nibadilishe content kwenda kwe kizungu
 
Jaribu Huone Adsense sasa hivi hawataki mchezo kabisa yaani uki vunja sharti hata moja tu hakuna msamaa hata kama una 10000000 kwenye akaunti, unafungiwa na pesa huzipati unapo pita unakuta adsense kwenye blog za kiswahili hao wame tumia ujanja na ikigundulika unafunguwa, Achana na blog za Kiswahili hazilipi Ndugu Hebu chek MM Hapa CHini
Mkuu adsense account haiwezi kufungwa kamwe kutokana na lugha..ukiweka lugha tofauti hua wanaondoa matangazo kwenye post zako.. ukitumia template za kiswahili kamwe hawawezi kukufungia.. adsense hufungiwa kwa makosa mawili makubwa.. ku-bonyeza matangazo yako na kua na CTR kubwa
13000077_221962161511168_2295562086900608522_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom