Msaada kuunga Nokia 5130c-2 na pc suite ya computer

Tectoner

Member
Dec 5, 2011
48
0
Simu yangu ya nokia inakataa kuunga kwenye pc..lakini nikiicommand kama storage device inatiki. Shida inakuja nikiicommand kama nokia mode, kwenye nokia pc suite inapotea kabisa.,. I.Ts naomba msaada jamani
 
mkuu embu jaribu kuinstall upya na je hiyo pc suite ni ya simu yako au ni ile ambayo ni universal..
 
ni cable anayotumia ndo inayozengua install drivers zake ili kuzipata soma kuna namba mbele ya usb cable kuna kama kidude cheupe zisome then nenda google search driver zake zitakua around 7mb install then done
 
kuna kitu kinaitwa nokia connectivity cable driver,nokia nyingi zinasupport version kuanzia saba kuendelea, download ovisuite au version mpya ya hiyo suite.
 
simu yangu haikuja na cd yake ya pc suite so kunasuite niliitoa kwa msela tu ndo natumi...kwenye simu nyingine inapiga mzigo kama kawa, i dont know why me?
 
haina kwele mkali
 
kuna kitu kinaitwa nokia connectivity cable driver,nokia nyingi zinasupport version kuanzia saba kuendelea, download ovisuite au version mpya ya hiyo suite.

hii ya kuweka nokia connectivity driver nimejaribu lakini sikupata tokeo lolote zuri mkari.
 
simu yangu haikuja na cd yake ya pc suite so kunasuite niliitoa kwa msela tu ndo natumi...kwenye simu nyingine inapiga mzigo kama kawa, i dont know why me?

download pc suite ya cm yako then install kwenye pc yako.nenda google type free download nokia pc suite for nokia 5130c-2.
 
Back
Top Bottom