Msaada: Kutumia Blackberry kama modem ya Internet

tovuti

Senior Member
Oct 29, 2009
160
11
Wadau habari...

Naomba kujuzwa vipi naweza ku connect blackberrry curve na cable,ili niweze kupata huduma

ya internet ktk pc yangu, au nitumie software gani....

Thanx in advance
 
Kama mdau alivyoelekeza hapo juu lakini hii haitakufanya uweze kutumia huduma za bb ulizojiunga.
Itabidi uweke credit zingine ambazo ndio zitatumika kama modem
 
Kama mdau alivyoelekeza hapo juu lakini hii haitakufanya uweze kutumia huduma za bb ulizojiunga.
Itabidi uweke credit zingine ambazo ndio zitatumika kama modem
paulss mkuu sasa hapo inakuwaje ...kwa sababau mimi nataka kutumia huduma ya bb kwenye laptop kwa

sababu napata shida kusoma kwenye simu, kwa nini haiwezekani?
 
Last edited by a moderator:
Kama mdau alivyoelekeza hapo juu lakini hii haitakufanya uweze kutumia huduma za bb ulizojiunga.
Itabidi uweke credit zingine ambazo ndio zitatumika kama modem
paulss mkuu fafanua kwa nini huwezi kutumia huduma za bb ulizojiunga kwenye pc unapounga simu kama modem
 
Last edited by a moderator:
nimetumia Blackberry curve yangu pia na torch na nareport kuwa kwa mitandao ya tigo na vodacom utakatwa credit ata kama una BIS yao ya elfu 20,000/30000 ...maana BIS inapply kwenye BB services tu ndio inakua unlimited lakini kama modem nakushauri weka bundle nyingine kama standard day au Cheka internet
 
nimetumia Blackberry curve yangu pia na torch na nareport kuwa kwa mitandao ya tigo na vodacom utakatwa credit ata kama una BIS yao ya elfu 20,000/30000 ...maana BIS inapply kwenye BB services tu ndio inakua unlimited lakini kama modem nakushauri weka bundle nyingine kama standard day au Cheka
internet
utakuja ....hivi inawezekana kupata huduma ya standard day ktk simu ya blackberry curve mkuu
 
Last edited by a moderator:
Huduma ya nternet kwenye simu za BB kupitia BIS ni bure, ila ukiconnect na PC au Laptop, ile BIS haitumiki hivyo simu inakula kama mchwa!.

Wakati wa uchaguzi mdogo wa Busanda na Biharamulo nilikuwa natumia BB kama moderm kwenye laptop yangu, kwa Busanda bili ilikuwa laki 5 plus!. Biharamulo bili ilikuja laki 6 plus!.

Japo BB kama moderm iko faster kuliko modern nyingine zozote, lakini kuitumia kwenye laptop is not cost effective. Kama uko Dar, nunua moderm ya Zentel au TTCL ziko fast na bundle zake ni cheap!. The cheapest bundle ni bundle ya Airtel ambayo ni 2,500 kwa 1 MB kwa wiki ila moderm zao ziko slow sana!.

Zaidi ya BB, ukitumia Samsung androids, zina speed bomba zaidi za internet kuliko BB!.
 
utakuja ....hivi inawezekana kupata huduma ya standard day ktk simu ya blackberry curve mkuu
Bila shida izo bundle zinakubali maana kuna wakati nilikua natumia Opera mini,Ubersocial,Blackberry app world bila BIS lakini kwa bundle sema apps nyingine azita fanya kazi..
 
Bila shida izo bundle zinakubali maana kuna wakati nilikua natumia Opera mini,Ubersocial,Blackberry app world bila BIS lakini kwa bundle sema apps nyingine azita fanya kazi..

Mkuu mi naomba unisaidie service books za tigo,kama unazo kwenye simu yako ya BB.nazihitaj ili niziweke manually kwny simu yangu,fanya back up ya service books then niAttachie uniinbox on mwakasege@gmail.com nitashukuru
 
Back
Top Bottom