tovuti Senior Member Oct 29, 2009 160 11 May 24, 2012 #1 Wana Jf .... Hivi wakati nachat kwenye facebook, vipi naweza kumtumia mtu picha(photo attachment) na akaipata katika kibox cha kuchat? Thanx in advance
Wana Jf .... Hivi wakati nachat kwenye facebook, vipi naweza kumtumia mtu picha(photo attachment) na akaipata katika kibox cha kuchat? Thanx in advance