I'm new member in dis forum, nimekua admitted SUA bt til now cjuh nianzie wap? Msaada wenu plz wana jamii.
Poa poa kaka, 2takua pa1
Kijana kwa kujiandaa na kama una uwezo nenda na senti za kutosha kidogo, nakumbuka miaka ile tulikuwa tunalipwa per day 2,500/= na tulipofika boom likawa halijatema, watu wakaishiwa hela kabisa baada ya wiki moja tu ndipo ukaanza mgomo wa hatari tukafukuzwa chuo kizima. Bei ya msosi haipo constant, kuna sehemu zipo juu bei na kwingine bei zipo fair. Wakati ule tulikuwa tunawatumia wadada wa kutupikia a.k.a 'Mugro' yaani tunachanga hela watu kadhaa halafu tunapikiwa, tukitoka class tunakuta msosi tayari kidogo ilikuwa inatusaidia kusevu. Mugro waliwasaidia sana wanafunzi coz gharama za kwenda kutafuta mirupo zilikuwa minimal huduma walikuwawanatoa wenyewe pia ila kwa ss hv nilisikia hawaruhusu Mugro..............................Hongereni na nawatakia masomo mema vijana.Jama hata kdogo m2tajie bei za msosi il 2anze kjipanga hela ya kja naya au hata per day kwa mlo wa kawaida inacost sh ngap
Kijana kwa kujiandaa na kama una uwezo nenda na senti za kutosha kidogo, nakumbuka miaka ile tulikuwa tunalipwa per day 2,500/= na tulipofika boom likawa halijatema, watu wakaishiwa hela kabisa baada ya wiki moja tu ndipo ukaanza mgomo wa hatari tukafukuzwa chuo kizima. Bei ya msosi haipo constant, kuna sehemu zipo juu bei na kwingine bei zipo fair. Wakati ule tulikuwa tunawatumia wadada wa kutupikia a.k.a 'Mugro' yaani tunachanga hela watu kadhaa halafu tunapikiwa, tukitoka class t thax nmekuxoma