Msaada kuset Micromax Funbook tablet APN settings

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,848
6,178
Heshima kwenu brothers and sisters.
Nimenunua hiyo Tablet India wakati nipo kule nilikua natumia line ya Tata network kampuni ya kule kwa ajili ya internet.

Sasa nimerudi nyumbani Tanzania nimeweka line za Tigo na Voda kwa ajili ya kupata 3g network inakataa ku connect hadi niset Apn.

Sasa wadau mnaojua naomba mnisaidie nijaze nini kwenye hizi sehem

1.Name................
2.Apn.................
3.Proxy..................
4.Port.................
5.User name.............
6.Password..............
7.Server..............
8.MMSC..........
9.MMS PROXY........
10. MMS port........
11. MCC.........
12. MNC ........

Naombeni msaada maana nimejaribu ku google imenishinda wakati nipo kule ilikuwa inafanya kazi vizuri tena kwa spidi ya ajabu. Sasa hizo setting mi naona nyota maana na sio locked inatumia simcard yeyote lakini hadi ujaze hizo apn sawasawa
 
Tafuta jirani mwenye Android phone au webpage ya Vodacom
Proxy - 10.154.0.8, port - 9401, apn - wap, apn type - intetnet, mcc - 640, mnc - 04, auth utaamua. Kwingine acha blank, utapata internet. Kuweka MMS ina settings zinazokaribia kufanana na hizo.
 
Heshima kwenu brothers and sisters.
Nimenunua hiyo Tablet India wakati nipo kule nilikua natumia line ya Tata network kampuni ya kule kwa ajili ya internet.

Sasa nimerudi nyumbani Tanzania nimeweka line za Tigo na Voda kwa ajili ya kupata 3g network inakataa ku connect hadi niset Apn.

Sasa wadau mnaojua naomba mnisaidie nijaze nini kwenye hizi sehem

1.Name................
2.Apn.................
3.Proxy..................
4.Port.................
5.User name.............
6.Password..............
7.Server..............
8.MMSC..........
9.MMS PROXY........
10. MMS port........
11. MCC.........
12. MNC ........

Naombeni msaada maana nimejaribu ku google imenishinda wakati nipo kule ilikuwa inafanya kazi vizuri tena kwa spidi ya ajabu. Sasa hizo setting mi naona nyota maana na sio locked inatumia simcard yeyote lakini hadi ujaze hizo apn sawasawa

Hee kuna baniani mmoja anauza Tsh 330,000 ndio nilikuwa najiandaa kwenda kuichukua sasa basi
 
Name: Tigo Web
APN: internet
Authentication: normal

Kwingine kote usijaze, hakikisha umeSave na imekuwa default profile,,launch browser yako then tumia line ya mtandao wowote kupata internet..ikikata restart device itakubali,,,.
 
Back
Top Bottom