Msaada kurudisha saut ktk pc

bface

Senior Member
Dec 22, 2010
128
19
Hey, computer yangu imepoteza sauti baada ya kupata shock ya umeme, nw cpati sound kabisa nmechek program za saut znarun vzuri haionyeshi km kunatatizo nmejaribu kubadilisha sound card lakini tatizo bdo nifanyeje? Help please!!
 
Yawezekana tatizo sio Soundcad bali tatizo lipo kwenye motheboard jaribu kuipeleka kwa wataalamu waifanyie troubleshooting..Hata yangu iliwahi kupata tatizo kama hilo na haikuwezekana kutengenzeka tena
 
Hey, computer yangu imepoteza sauti baada ya kupata shock ya umeme, nw cpati sound kabisa nmechek program za saut znarun vzuri haionyeshi km kunatatizo nmejaribu kubadilisha sound card lakini tatizo bdo nifanyeje? Help please!!

maelezo yako hayajitoshelezi broda
1. unatmia speaker za nje {external}? ulijaribu na speaker tofauti na ulizokua ukitumia mwanzo
2. ninani aliye weka hiyo sound card mpya {anaujuzi wa kazi hiyo}?
3. computer yenyewe ni brand gani model na inamuda gani?
4.hiyo sound card inaingiliana vyema kwenye hiyo computer?
5. je unauhakika kama hiyo sound card mpya ni nzima?
<
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom