Msaada: kurudisha frequency kwa dish la DSTV

brian360

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
224
30
Wadau dish langu limepoteza frequency kabisa kwasababu ya upepo na mvua za jana,yeyote mwenye ujuz huo! Maana mafund wa DSTV cku hiz wanataka sana pesa!
 
Hapa duniani tunaishi kwa kutegemeana mkuu hata wewe kwa nafasi yako unategemewa na wengine kwa hiyo we muite fundi akurudishe ktk ulimwengu wa burudani bahati mbaya niko mbali nawe hiyo ni kazi ya dakika sifuri tu.
 
Kwa kawaida dstv huwa aipotezi fregwens. Kama zimepotea we zima na ukiwasha tena fregwens zinaludi zenyewe. Au dish lako limepoteza huelekeo ? Kama frengesi ni hizi 12245h27500. Kama imepoteza huelekeo unatakiwa uwe na risiva ya kawaida weka izo fregwens hapo juu kisha zungusha dish kuelekea juu au chini au kushoto kulia mpaka upate signal kama umepata ludisha dekoda yako ufuraie picha. Ila lazima ukomae sio rahisi kiivyo
 
dah kaka nitajaribu lakini maelekezo magumu hayo!
 
Hapa duniani tunaishi kwa kutegemeana mkuu hata wewe kwa nafasi yako unategemewa na wengine kwa hiyo we muite fundi akurudishe ktk ulimwengu wa burudani bahati mbaya niko mbali nawe hiyo ni kazi ya dakika sifuri tu.

sasa kaka mtu yeyote unayemjua ambaye yupo karibu lkn bei ciyo kubwa sana.
 
Freq za Dstv zinaingi auto kwenye decoder zao kama signal ipo unachotakiwa kufanya ni kutafuta signal iliyopotea kwa kulizungusha dish lako.
 
wanasema kuna kifaa kinaitwa TUNER Hicho kinasaidia kupata frequency fasta hiyo ni kweli?
 
Back
Top Bottom