Msaada kupata daktari mtaalamu wa ENT

MNDEE

JF-Expert Member
Jul 10, 2009
491
68
Wanajamvi nahitaji msaada wenu kumpata daktari wa ENT, mwanafamilia wangu anatatizo la uvimbe sehemu za shingoni na ameshauriwa kuonana daktari wa ENT. Kama unamfaham dr. ambaye ataweza kumuona nitashukuru sana.
 
Unaishi sehemu gani? Nenda pale Namange kuna Clinic ya Daktari bingwa Dr. Kimario, Ni karibu na mataa ya kuingia msasani/na Ali hassani mwinyi au Nenda Muhimbili Muulizie Dr. Kimario Au Kupitia simu yake ya mkononi No. 0756714679
 
Dk Minja: Mikocheni Hospital au pale karibu na Kwa Shehe Yahya/Magomeni kuna Clinic ina madaktari mbalimbali wa ENT
 
Wakuu ahsanteni sana kwa hizi details, mgonjwa wangu yuko Tanga na ameshaondoka kuelekea Dar.
 
Wanajamvi, nimeona niwapatie update ya yule mgonjwa wangu.

Pale Muhimbili alipigwa zile za nenda rudi kwa takribani miezi 6, kilichokuwa kinafanyika ni kupasua uvimbe leo hapa next time pengine. Tukaomba mgonjwa afanyiwe full blood picture, tukapeleka majibu nje ya nchi, tukaletewa repoti mgonjwa ana cancer ya damu. To cut the long story short, mgonjwa alipelekwa huko majibu yalikosomwa na ameshaanza Chemotherapy, tunashukuru Mungu anaendelea vizuri. Ahsanteni kwa ushauri.
 
shukuru mungu kwa kufikiria mbele na kuchukuwa uwamuzi wa kipimo hicho cha damu... ! tunahitaji ma hematologist na vifaa tzn .. usingeingia gharama kubwa hizi..

poleni sna
 
Nenda muhimbili kuna idara hiyo na utapata huduma ila uwe na barua ya rufaa toka hospitali kama temeke,m/mala au amana au nenda lugalo kuna doctor muhidze au ekenywa dispensary iko magomeni utamkuta specialist anaitwa dr.ole lengine(he is real good)
mpe pole jamaa yako
 
Pole kwa kuuguliwa ndugu. Nenda pale Namanga kuna doctor ana hospitali yake ya ENT na anafanya kazi muhimbili.
 
Wanajamvi, nimeona niwapatie update ya yule mgonjwa wangu.

Pale Muhimbili alipigwa zile za nenda rudi kwa takribani miezi 6, kilichokuwa kinafanyika ni kupasua uvimbe leo hapa next time pengine. Tukaomba mgonjwa afanyiwe full blood picture, tukapeleka majibu nje ya nchi, tukaletewa repoti mgonjwa ana cancer ya damu. To cut the long story short, mgonjwa alipelekwa huko majibu yalikosomwa na ameshaanza Chemotherapy, tunashukuru Mungu anaendelea vizuri. Ahsanteni kwa ushauri.

Pole sana kwa kuuguza.
 
Pia pale magomeni mikumi nyuma ya yule mtabiri maarufu kuna Dr mmasai wa MNH ana clinic ya ENT
 
Wanajamvi, nimeona niwapatie update ya yule mgonjwa wangu.

Pale Muhimbili alipigwa zile za nenda rudi kwa takribani miezi 6, kilichokuwa kinafanyika ni kupasua uvimbe leo hapa next time pengine. Tukaomba mgonjwa afanyiwe full blood picture, tukapeleka majibu nje ya nchi, tukaletewa repoti mgonjwa ana cancer ya damu. To cut the long story short, mgonjwa alipelekwa huko majibu yalikosomwa na ameshaanza Chemotherapy, tunashukuru Mungu anaendelea vizuri. Ahsanteni kwa ushauri.
MNDEE kweli hakuna mtu Muhimbili aliyekwambia fanya Peripheral Blood Smear (Naamini sio Full Blood Picture, maana FBP hata daktari msaidizi anaweza isoma) mpaka ukaipeleka nje? Au ndiyo zile style za kutibiwa corridor na madaktari uchwara? Kuna Hematologists wazuri sana pale Muhimbili waliosoma ndani na nje ya nchi. Akina Rwehabura et al.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom