Msaada kukopa nmb

Mastabenja

Member
Mar 23, 2012
25
6
Wana jf nataka kukopa nmb mil tatu-basic yangu ni 422000 take home ni 371000 .je riba ni kiasi gani na kila mwezi ntakatwa shilingi ngapi kwa miezi 36!najua watu wa benki mpo jf
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom