Msaada kuirudisha S5 Orignal iliyofungiwa TCRA

mchushi

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
216
98
Simu ya galaxy s5 genuine ilifungiwa kipindi TCRA wanafungia simu feki hii ilitokana na kuwepo kwa clone iliyoiga IMEI yangu hivyo kusababisha kufungiwa.....

Nilijaribu kuunlock nikaitumia kwa muda wakaifungia tena.Najaribu kutembelea page ya TCRA ili niwaambie naona page ina crash

Naomba msaada kwa mtu mwenye namna nzuri ya kuwasiliana na TCRA ili wanifungulie simu yangu au kama kuna mtu anaweza nishauri zaidi ya hapo nakaribisha asanteni.
 
Simu ya galaxy s5 genuine ilifungiwa kipindi TCRA wanafungia simu feki hii ilitokana na kuwepo kwa clone iliyoiga IMEI yangu hivyo kusababisha kufungiwa.....nilijaribu kuunlock nikaitumia kwa muda wakaifungia tena.Najaribu kutembelea page ya TCRA ili niwaambie naona page ina crash naomba msaada kwa mtu mwenye namna nzuri ya kuwasiliana na TCRA ili wanifungulie simu yangu au kama kuna mtu anaweza nishauri zaidi ya hapo nakaribisha asanteni.
Nenda kwa mafundi wa simu wanaoaminika watatatua tatizo lako ndani ya dk 10 tu, na bei ya kiirekebisha haitazidi Tshs 10,000/= ni. maelewano yako tu na fundi.
 
asante kwa ushauri mkuu ila nilienda kuunlock kwa fundi nikaitumia kwa muda wakaifungia tena nikienda mara ya pili yaweza kuwa shida zaidi ndiyo maana nataka kusetle na TCRA wenyewe wasinifungue tena.
 
Nna shida kama yako mkuu na mm pia nna s5 original... nataka niende kwenye ofisi za tcra naskia wanazfungua wenyewe
 
Simu ya galaxy s5 genuine ilifungiwa kipindi TCRA wanafungia simu feki hii ilitokana na kuwepo kwa clone iliyoiga IMEI yangu hivyo kusababisha kufungiwa.....nilijaribu kuunlock nikaitumia kwa muda wakaifungia tena.Najaribu kutembelea page ya TCRA ili niwaambie naona page ina crash naomba msaada kwa mtu mwenye namna nzuri ya kuwasiliana na TCRA ili wanifungulie simu yangu au kama kuna mtu anaweza nishauri zaidi ya hapo nakaribisha asanteni.
asante mkuu nataka nifanye ila niko mkoani nilidhani kuna uwezekano wa kuwasiliana nao wakanifungulia.
 
Simu ya galaxy s5 genuine ilifungiwa kipindi TCRA wanafungia simu feki hii ilitokana na kuwepo kwa clone iliyoiga IMEI yangu hivyo kusababisha kufungiwa.....nilijaribu kuunlock nikaitumia kwa muda wakaifungia tena.Najaribu kutembelea page ya TCRA ili niwaambie naona page ina crash naomba msaada kwa mtu mwenye namna nzuri ya kuwasiliana na TCRA ili wanifungulie simu yangu au kama kuna mtu anaweza nishauri zaidi ya hapo nakaribisha asanteni.

Ina maan ww una akil kuliko TCRA et, km waliona cm yko feki we unabisha nn, kma vp nenda ofcn kwao kabisa labd upate msaada wa kudumu
 
Mtu mwenye mawasiliano na fundi mzuri naomba anielekeze.. na mm nipo dom ila naenda dar this week nimchek anisaidie
 
Kwa samsung original s5, note3 na note 4 nk ikoo njia temporaly na permanent tempraly ndio hiyo tsh 10,000- mpaka 20,000/= lakini fahamu siku yoyote wanailamba njia permanent itakugharimu kidogo
 
Simu ya galaxy s5 genuine ilifungiwa kipindi TCRA wanafungia simu feki hii ilitokana na kuwepo kwa clone iliyoiga IMEI yangu hivyo kusababisha kufungiwa.....

Nilijaribu kuunlock nikaitumia kwa muda wakaifungia tena.Najaribu kutembelea page ya TCRA ili niwaambie naona page ina crash

Naomba msaada kwa mtu mwenye namna nzuri ya kuwasiliana na TCRA ili wanifungulie simu yangu au kama kuna mtu anaweza nishauri zaidi ya hapo nakaribisha asanteni.

umejuaje kama orijino?
 
umejuaje kama orijino?
Ya kwangu hata imei inaonesha ndio simu yangu nnayoimiliki.. na vitu vingne kibao ambavyo nikipima kwa kugugo kujua km ni original nagundua kuwa ni original.. sina namna sahihi ambayo nnaweza kukuhakikishia labda uniulize maswali ya namna ya kuprovu... ila am sure 100% kuwa ni original
umejuaje kama orijino?
 
hapo ni kubadisha imei sasa kama kuna mwenye shida hii na yupo dar njoo pm nikuelekeze pa kwenda
 
Kwa samsung original s5, note3 na note 4 nk ikoo njia temporaly na permanent tempraly ndio hiyo tsh 10,000- mpaka 20,000/= lakini fahamu siku yoyote wanailamba njia permanent itakugharimu kidogo
Permanent inaeza enda adi bei gani mkuu ili nijue naanza kutafta fundi na bei gani mfukoni
 
Back
Top Bottom