Msaada: Kuirecover nokia c7

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,698
1,395
guys naombeni msaada wa dhati...nlijaribu kuifanyia hard resett simu yangu NOKIA C7 na ikanitaka niweke passkey (nkaweka za nokia 12345,00000) ilinipa only 5 attempts..bad luck zikakataa zote.. na nlivyoiwasa simu baadae..IKAJILOCK na inataka key ..N:B hii simu nlinunua kwa mtu sina historia ya previous used passcodes... siwezi kuitumia simu yangu... niko mkoa na mafundi wa huku wanataka elfu50 kuiflash...PLZ HEEEEELP SINA AMANI YA MOYO KABSAAA
IMEI NO:355960042617825
 
jamani mbona kimya ,,,naamini kuna wadau wanaoweza kunisaidia hili tatizo,,...CHIEF MKWAWA n et'al msinifanyie hivyoo...LOOKING FORWARD TO HEAR FROM U
 
uliformat hivi?

Button ya katikati camera na volume down?

no nlifanya *#7370* then ikataka code nkatia 12345,,,,na 00000.,, ikazingua later on nkaiwasha... ikawa inataka code/locked... nkajaribu kuhold volume down key+camera+menu na power button... ikataka niingize new code na niiverify...BAD LUCK IKAKATAA [CODE ERROR].... NKAGOOGLE nkapata code fulani hivi but kuzitia bilabila..... am so saaaaad...,,
 
SiJ65.png


Zima simu shikilia button halaf washa
 
i tried that still no luck mkuu....very frustrated hapa..
 
Back
Top Bottom