Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,352
Ni hivi:
Jumamosi hii mdogo wangu atakuwa anaoa. Harusi itakuwa na bia za kutosha.
Jumapili mpwa wangu anapata komunyo ya kwanza. Kutakuwa na bia za kufa mtu.
Jumatatu ni mwisho wa mwezi, maripoti kibao.
Kuna mtu yeyote anajua dawa ya kuikabili HANGOVER ili jumatatu nisihatarishe uhai wa kibarua changu? ANGALIZO: Dawa hiyo isihusiane na kuacha kunywa bia siku hizo mbili wala vidonge vitakavyonilazimisha nisinywe bia jumatatu jioni baada ya kazi ngumu.
Wakati nikiwaombeni mniombee jumatatu inikute mzima, :glasses-nerdy:Mimi nawatakieni wikiendi njema.