Msaada kuhusu window 7,tafadhali soma hapa

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
Jamaani ndugu zangu nimefanya installation ya window seven 7,nimeazima kwa rafiki yangu baada ya kufanya hivyo imeniandkia kuwa window is not genuine,imeacha na kudisplay background ya window seven nifanyaje naomba msaada wenu pliz,natanguliza shukrani zangu
 
sikieni vijana window cracker haiwezi kufanya kazi ikiwa tayari imeshactivate bali hufanya kazi pale inaponadi kua siku kadhaa zimebaki zikipita sile siku huwezi tena kutatua kwa loder cha msingi inabidi utoe hiyo window na uinstall upya! goodluck!
 
jamani nawashukuru sana.naombeni namba zenu ili tuweze kuongea mnipe maelekezo over the phone-namba yangu ni 0714701242 au 0756777266 waweza kunibeep nitakupigia.natanguliza shukrani zangu kwenu nyote
 
sikieni vijana window cracker haiwezi kufanya kazi ikiwa tayari imeshactivate bali hufanya kazi pale inaponadi kua siku kadhaa zimebaki zikipita sile siku huwezi tena kutatua kwa loder cha msingi inabidi utoe hiyo window na uinstall upya! goodluck!

hii weye mwana mbona unamkatisha tamaa mwenzio. sema weye umeshindwa kuifanyisha kazi. zipo patch za kumwaga zinazo i fool microsoft ili aone kuwa window ni genuine.
 
Back
Top Bottom