Msaada kuhusu viti vya plastiki imara

ruston8919

Member
Mar 31, 2012
68
14
wakubwa mlioko dsm au pande yyt naomba msaada wapi nitapata viti imara vya plastiki na kwa bei gani, nataka ninunue ili niwe nakodishia watu kwa ajili ya shughuli mbalimbal, nitashukuru sana kama nitapata taarifa kwa kina.
 
CELLO ni imara shs 13000 kimoja kaika maduka ya jeshi, uraiani itazidi kidogo
 
Mi pia na-recommend cello, nimeishavitumia na sijajuta, bei ni kama alivyosema mkuu hapo juu, ila hata kariakoo utapata kwa bei hiyo hiyo ukizunguka vizuri plus kubagain
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom