Msaada kuhusu recycler folder kwenye external hd

Jawai

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
530
405
Habarini za leo wana jukwaa, External hd yangu iliingia virus visomekavyo Recycler, autorun info. na system volume information kotoka computer ya rafiki yangu nikaenda kuiscan na kerspasky antivirus ikadetect virus na ku disinfect, nilipoichukua kuiweka kwa pc yangu mafail yote hayaonekani ila memory ya hd haijapungua. so naombeni msaada wenu tafadhari..
 
connect hard disk yako halafu open hiyo drive tazama hapo juu click organise nenda shuka chini mpaka "Folder and serch option" ikifunguka windows nyengine click view utaona mahali pameandikwa show hidden files click hapo than apply ukiona mafolder yako unaweza kuhamisha jaribu
 
Download software inaitwa USBSHOW. hii HAPA ndogo tu 100kb. ukishadownload run it.itafunguka then default language yake ni kispanish.so change the language to english and utaona button ya 'recover the hide files' bofya hapo then select the drive you want to recover and press OK. Now wait for some minutes your files and folder zitarudi automatically
 
Kweli penye wengi hakishindikani kitu, nashukuru sana kaka nimefanikiwa, mafail yote yanaonekana vipi kuhusu hili fail la recycler, nilifanyeje liondoke kaka?
 
Kweli penye wengi hakishindikani kitu, nashukuru sana kaka nimefanikiwa, mafail yote yanaonekana vipi kuhusu hili fail la recycler, nilifanyeje liondoke kaka?

kwa ujuzi wangu mdogo folder la recycler ni recycle bin ya hard disk.utakachofuta kwenye hard disk kinaingia humo.kama ukipenda lifute kama ukiamua kuliacha liache tu halina madhara.
 
nimeweka thread on how to unhide files and folders on a hard drive or USB. kwa wale wenye matatizo kama ya huyu mkuu. this is your solution
 
Back
Top Bottom