msaada kuhusu ram za laptop

axel fowly

Senior Member
Aug 14, 2012
114
23
wakuu my laptop ipo very slow kwenye kuplay some of the games one of my friends ameniambia probably its due to the ram that am using ambayo ni 1GB so nilikuwa naomba kujuzwa kama kunauwezekano wa kubadili ram na kama upo how much do they cost..??
 
it depends, RAM ya 1gb inaplay video vizuri tu labda useme kwanza specs za mashine yako
 
game linataka factor nyingi tu kaka sio ram tu kuna processor, video card screen resolution.

Tutajie ni game gani na specific za computer yako ili watu waweze kukujibu vizuri.
 
wakuu my laptop ipo very slow kwenye kuplay some of the games one of my friends ameniambia probably its due to the ram that am using ambayo ni 1GB so nilikuwa naomba kujuzwa kama kunauwezekano wa kubadili ram na kama upo how much do they cost..??

Sure hapo kitu kikubwa kwenye Games, pc yako lazima iwe fresh kwenye, Processor, Graphic Memory na type ya Video Accelerator & ram. So ni better ukataja specs za hiyo mashine yako Axel fowly
 
Kaa Super Mario ni Game ya kizamani na inaPlay hata katika Ram 256 na inayofuata ni Ram 512 km una 1GB na wala usiiguse ninacho kushauri ni kwamba kuna vitu umevijaza vya Temporary kutoka katika Internet ambavyo kuvitoa unatakiwa uende
  • start
  • Run
  • halafu andika % Temp%
  • click Ok
  • utakavyovikuta naomba vyote vi-Delete
  • Itakayogoma iruke punguza vinavyokubali
  • Rudi kwenye gamwe km ni Mario wewe cheza tu
labda game lingine maana kuna magame mengine ya 3D ni mazito kwa 1GB
 
the biggest concern for any game ni video card. weka pembeni processor na ram as hata na core i7, na gb nane ya RAM lakini ina say intel mobile chipset for a video card, games zita run slow. typically any duo core and above computer with 1gb ya RAM inaweza cheza most games at a moderate setting PROVIDED ina video card nzuri. kama unatumia laptop, wala usijichoshe kuinunulia RAM extra, perfomance haita rise if it has a low end vga card. laptops by nature hazitengenezwi za kuchezea games ila kwa kufuata haya maelekezo yangu utaweza pata a better gaming laptop; next time unanunua a new laptop, nunua any intel third gen processor (zina mstari wa gold umekata kati ya maneno) as newer processors get better video cards than their predecessors' na then kama una weza, tafuta laptop yeyote ambayo ina sticker tatu (mmoja ya processor, ya pili ya windows na ya tatu ya video card) as video cards za intel ni weak na hicho kisticker humaanisha kuwa laptop ina an external video card. hizi video cards ni either ya ATI(sticker nyekundu) au Nvidia (sticker ya kijani)

mfano, ukicheki laptop yangu hapa, ina ati video cards na 2nd gen intel i5 (nilinunua kabla 3rd gen hazijatoka) na inacheza games kama nfs the run at high settings
rvewd4.jpg


1st gen intel processors zipo na sticker kama hii
2qitzk9.jpg

2nd gen intel processors zipo hivi
2mcud5v.jpg

na finally, 3rd gen intel processors stickers zipo hivi
zxnrrn.jpg


narudia tena, try to get the latest intel processor as inakuwa na better video cards (navyosema sema processor, naongelea c2d, c2q, i3, i5 na i7, zingine zimepitwa na wakati), if possible get one with a switchable graphics card and utaweza kucheza games on your laptop more pleasurably.
final words: ukitaka kuona full extend ya games za pc (zinauwezo wa na sometimes kuzidi ps3 na xbox 360), tafutana na desktop
regards, leh
de8yv8.gif
 
Nilitamani sana hii elimu kuhusu ram maana pc yangu haidisplay kitu ikiwaka,but the fans,na taa zinawaka kama kawaida
 
unaitesa laptop yako...nenda dukani kanunue ram kadri ya uwezo wako....me nilinunua mpya kabisa mara ya mwisho 2012...1gb kwa elfu 60...cjui bei za sasa....ukitaka ya 512 ddr...used ni pm
 
Back
Top Bottom