Msaada kuhusu PayPal!

Mtoa mada anasema hivi hapa chini:

Nilikuwa nimeregister, lakini inaonesha verification itakamilika within 5~7 working days. Nina urgent issue,kusubiri 5~7 days ni issue zaidi ya issue.
Wewe unambishia
Wacha uongo uki-register na kuweka vikolombwezo vyote huwa ni hapo kwa hapo, labda inategemea upo nchi gani. Sorry mate.

Hivi hapo huoni kwamba wewe ndo mpiga pumba?! Mwenyewe ameshema kwamba msg aliyopata ni kwamba account itakuwa verified within 5~7days, mwenzetu wewe unamkatalia kwamba sio hivyo!!!!! Maajabu haya!! Yaani unataka kujifanya wewe unajua sana kuliko huyo mwenyewe aliyesema amepewa 5~7 working days for verification?! Narudia, acha ulimbukeni wa kujifanya unajua wakati hujui huku ukionesha dalili zote za namna gani ulivyo mgumu wa kuelewa! Pole sana!
 
kuwepo kwa huduma zote inabidi paypal wapitie financial regulations za nchi fulani na wakubaliane nazo hivyo kuwepo kwa huduma zote, haya ni majibu ambayo paypal walinijibu kwa email,

ni kweli paypal hakuna huduma ya kureceive pesa kwa Tanzania pia hata Uganda na nchi nyingi tu , Kenya inazo huduma zote za kutuma na za kureceive

register a paypal akaunti weka nchi TANZANIA angalia juu utaona sehemu ya SEND PAYMENT tu, Again register a pyapal akaunti weka nchi KENYA or USA , utaona both RECEIVE PAYMENT na SEND PAYMENT

Hivyo kwa mtu wa TANZANIA hawezi kuuza vitu ebay kwa direct paypal paymet, anaweza kuuza but kwa kwa direct paypment through VISA or MASTAKADI,

Mkuu bado hapa nipo njia panda je hela haitangia kabisa kwenye paypal au itaingia kwenye paypal then ntashindwa kuingiza kwenye acount yangu ya benk?
 
Mkuu bado hapa nipo njia panda je hela haitangia kabisa kwenye paypal au itaingia kwenye paypal then ntashindwa kuingiza kwenye acount yangu ya benk?

Tanzania iko restricted kupokea labda kutuma au kununua tu. Baada ya kugundua hilo mimi nilihamia PAYZA ambao wanaruhusu kutuma na kupokea bila shida yoyote.
 
Tanzania iko restricted kupokea labda kutuma au kununua tu. Baada ya kugundua hilo mimi nilihamia PAYZA ambao wanaruhusu kutuma na kupokea bila shida yoyote.

Kuna kupokea paypal na kupokea kwenye kadi through paypal we wasepa kupi?
 
Mkuu bado hapa nipo njia panda je hela haitangia kabisa kwenye paypal au itaingia kwenye paypal then ntashindwa kuingiza kwenye acount yangu ya benk?

maana ya huduma ya kureceive hakuna ni kwamba huwezi kulipwa direct from your paypal akaunti but only through your kadi

muendelezo wa maaana ni kwamba zile huduma zote unazoweza kuzitumia upokee pesa through a paypal akaunti ni hakuna, like sending invoice/ bills etc

mtu wa kenya anaweza kukutumia invoice ya bidhaa umlipe through paypal, anaweza kukutumia bills umlipe through paypal anaweza kukutumia ombi lolote lake umlipe kupitia paypal

wewe wa TANZANIA huwezi activate huduma yoyote ya wewe kutaka lipwa kupitia paypal za wewe kulipwa kupitia paypal,

hapa haina maana ya pesa kutoingia au kuingia kwenye akauniti yako, ni kama nilivyoelezea hapo juu ni kuwa tu huwezi zitumia huduma za kupokea pesa kupitia paypal
 
Kuna kupokea paypal na kupokea kwenye kadi through paypal we wasepa kupi?
chief,
hii kitu iko hivi: Kama ambavyo ameleeza kwa ufasaha mathematics labda niongeze kitu kidogo! Say u have Paypal account(Tanzania) ambayo imekuwa linked na VISA card yako.
Si tu kwamba you can not receive money from others, but You can not even transfer money from your own bank account to your paypal account (na kui-store pale for sometime); i.e, you can not even add fund from your bank account to your paypal acount! Hii ni kwa sababu your paypal account can not receive money! Hii maana yake nini? hata pale unapotaka kufanya payment using your paypal account, sio kwamba utaamisha fedha from your bank account to your paypal account kisha ufanye hiyo payment; absolutely not! Kitakachotokea ni kwamba, ukisha-command "pay", your credit card itakuwa directly debited na ile amount kuwa channeled through your paypal account na kwenda moja kwa moja kwenye account ya yule anayelipwa!! It's weird lakini ndivyo ilivyo! hebu cheki hapa chini email ambayo walinitumia baada ya kuwauliza kuhusu hiyo kitu:

"Hello ( ), my name is Aivie from PayPal Customer Service. I'm here to assist you with receiving funds to your PayPal account.To comply with local laws and financial regulations, PayPal is currently unable to offer this option. On the bright side, we’re constantly working towards expanding our service to include this feature since it would be beneficial for both of us to offer this to you. We are doing our best to make this feature available in the near future.
When additional features are made available you’ll be the first to know. All updated information regarding country capabilities to send and receive funds is on our website. Check it out by visitinghttps://www.paypal.com and clicking “Worldwide" at the bottom.
Thank you for your interest in PayPal, one of the safest ways to send money in the world.

Sincerely,
Aivie
PayPal, an eBay Company"




 
mi mpaka nimekataa tamaa sasa..ni kama miezi miwili hivi imepita tangu niombe crdb wanifungulie visa card yangu...kila nikienda mara njoo wiki ijayo , mara kesho mara baada ya wiki moja itakuwa tayari na nshajaza hadi ile form ya kuwa responsible mwenyewe watakapo activate huduma hii ambayo unajaza card no account details, tena nimejaaza zaid ya mara mbili maana mara ya kwanza nimajejaza wakasema baada ya siku 3 itakuwa tayari,nimerudi siku ya 3 eti form hawaioni ...!! nikajaza tena... baaday ya siku 3 kurudi wakanipiga kiswahili tena nikapoa wakanipa nyingine nikajaza, mpaka leo ni mwezi umepita paypal siwez ku confirm card yangu inagoma na benki kila nikienda napigwa kiswahili..aaarghhh...!!

Ni kweli kabisa mimi niko Mwanza mwezi wa 3 sasa nafuatilia,mpaka leo sijaweza kutumia Paypal tayari nina acount ya PayPal lakini lazima Bank wafanye verification ya card yako mimi niko CRDB kila nikienda wananiambia nipige simu Customer Care Makao makuu,siku nyingine wanasema form niliyoijaza waliokesa kui fax ili mradi tu usumbufu.
jana waliniambia niende nikajaribu jibu nililolipata ni lilelile your Card is denied please Contact you Bank.
Naomba mteja wa CRDB ambae alishafanikiwa kujiunga anisaidie.
 
Ni kweli kabisa mimi niko Mwanza mwezi wa 3 sasa nafuatilia,mpaka leo sijaweza kutumia Paypal tayari nina acount ya PayPal lakini lazima Bank wafanye verification ya card yako mimi niko CRDB kila nikienda wananiambia nipige simu Customer Care Makao makuu,siku nyingine wanasema form niliyoijaza waliokesa kui fax ili mradi tu usumbufu.
jana waliniambia niende nikajaribu jibu nililolipata ni lilelile your Card is denied please Contact you Bank.
Naomba mteja wa CRDB ambae alishafanikiwa kujiunga anisaidie.

yani ungejua nikitendo cha dakika 1 inakuwa online. Mm nilianza hvyo hvyo kusumbuliwa na hawa maagency yani sijui huwa hawatumi hizo form tunazojazaga au ni makao makuu wa puuzi, maana nilipofika makao makuu nikaenda kwa muhusika wa kitengo hicho na nikajaza form upya maana siku mwambia nishajaza awali mshangao alinipa mda mchache itakua unlocked ila hadi kesho yake nilipomfata ndio akapiga cm dar makao makuu hapo hapo akampa details zangu na ikafunguliwa. Hvyo hata makao makuu mikoani hawaezi direct ku unlock bila makao makuu dar. Fatilia kwa wahusika makao makuu mikoan ila usiache tu kufatilia kama ipo ok.
 
Back
Top Bottom