Msaada kuhusu PayPal!

G12

Senior Member
Aug 31, 2012
156
51
Sina paypal account, je nawezaje kutuma fedha kutoka account yangu ya bank kwenda account ya paypal?
 
Mi ninavyofaham inabidi mpaka uwe na account ya paypall
 
hutaweza i think maana kuregister ni bure there is no reason wao wakubali card zisizo registered
 
Nilikuwa nimeregister, lakini inaonesha verification itakamilika within 5~7 working days. Nina urgent issue,kusubiri 5~7 days ni issue zaidi ya issue.
 
Wacha uongo uki-register na kuweka vikolombwezo vyote huwa ni hapo kwa hapo, labda inategemea upo nchi gani. Sorry mate.

wewe ndo unampoteza ukiregister utaambiwa ueke details za kadi yako then ukieka baada ya siku 2 au 3 ndo statement ya benki inatoka upate verification code

tena sometime kuna wakati kama huja activate visa/master card na manunuzi ya online inabidi u activate kwanza hii nayo ni one day

so kwa uchache ni siku 3 na ikiangukia weeken ni 5 na kwa mtu ambaye hayuko fasta why zisifike 7
 
Mkuu usikurupuke .... ...... ''labda inategemea upo nchi gani.''
 
Pole sana! Nina uhakika umeisajili kadi yako kwa paypal, sasa Hiyo verication code inapatika katika Benk yako! Nenda sehemu wanayotoa kadi waambie wakupe verification code! Then utaiingiza kwenye space inaposema enter verification code (4 digits) then kadi yako italink na paypal akaunti. Nenda na card yako bank!

Sent from my BlackBerry 9300 using Jambo Adverts Tanzania Networks.
 
wale customer care wazushi we ukifika omba statement ya benk then unaangalia neno liliopo kati ya pp*xxxxCODE hio xxxx ndo verification code
 
chief-mkwawa Joendu85 wakuu naona mna uzoefu na paypal...nilikuwa refunded ebay sasa shida ikaja hela haijaingia kwenye my bank account ila inaonyesha kuwa transaction successful. Mmeshawahi kutana na issue kama hii?
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa G12, me nilijiregister paypal then nikatakiwa kuingiza details za kadi yangu na nikafanya ivo baada ya hapo wanakata $1.97 kama registration fee na kuconfirm kama account ya bank ni yako' so baada ya hapo utaweza nunua vitu online mfano ebay ila matumizi yakifika dola 400 account inasitishwa mpaka uconfirm account yako ya paypal na code za kuconfirm unaenda kuomba bank kwako. Kikubwa kabla ya kujiregister nenda bank yako ili waactivate kadi yako. Basi ni mteremko na mimi nafurahia tu kuclick and buy.
Sina paypal account, je nawezaje kutuma fedha kutoka account yangu ya bank kwenda account ya paypal?

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
Bank zetu bado sana manaake huyo customer care ukimwambia naomba verification codes za paypal hata hajui. Me walinisumbua mpaka nikakasirika nikawaambia wafunge account yangu na nikahamisha hela zangu zote kwenda bank nyingine muda huo huo.
Pole sana! Nina uhakika umeisajili kadi yako kwa paypal, sasa Hiyo verication code inapatika katika Benk yako! Nenda sehemu wanayotoa kadi waambie wakupe verification code! Then utaiingiza kwenye space inaposema enter verification code (4 digits) then kadi yako italink na paypal akaunti. Nenda na card yako bank!

Sent from my BlackBerry 9300 using Jambo Adverts Tanzania Networks.

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
Bank zetu bado sana manaake huyo customer care ukimwambia naomba verification codes za paypal hata hajui. Me walinisumbua mpaka nikakasirika nikawaambia wafunge account yangu na nikahamisha hela zangu zote kwenda bank nyingine muda huo huo.

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
Samahani wakuu, tuhabarishane tafadhali; ni Benki gani kwa hapa TZ zenye huduma hii ya Paypal?
 
chief-mkwawa Joendu85 wakuu naona mna uzoefu na paypal...nilikuwa refunded ebay sasa shida ikaja hela haijaingia kwenye my bank account ila inaonyesha kuwa transaction successful. Mmeshawahi kutana na issue kama hii?

Sjui kwa tanzania sijui card zetu kama zipo hivi lakini nimeona canada ndugu yangu flan debit card yake inatoa tu haireceive.

So nahisi itakua card yako haireceive mapato. Anyway waulize benk yako watakujibu vizuri
 
Last edited by a moderator:
Samahani wakuu, tuhabarishane tafadhali; ni Benki gani kwa hapa TZ zenye huduma hii ya Paypal?
bank haitoi huduma ya paypal, ni wewe unakwenda site ya paypal unajisajili, but make sure kadi yako ni masterkadi au visakadi
 
chief-mkwawa Joendu85 wakuu naona mna uzoefu na paypal...nilikuwa refunded ebay sasa shida ikaja hela haijaingia kwenye my bank account ila inaonyesha kuwa transaction successful. Mmeshawahi kutana na issue kama hii?
ukiwa refunded pesa inakuja kwa akaunti yako, but not immideately ni after 3-5 days
so nenda kacheki balance ya akaunti yako after 3-5-7 days lazima utiona hiyo pesa yako,
 
Back
Top Bottom