Msaada kuhusu mtoto huyu ni hatari mno Mbezi mwisho stand

Inaonyesha Wengi wanauziwa na huyu mtoto badala ya kumsikitikia, Ndio kweli hatari kwa wananchi tena sio ndogo Hapo kumbukeni huyo Mtoto mshasema ni "TAAHIRA" sio wale watoto wa kihuni hawataki kusoma ukiwauliza unataka kuwa nani anakujibu daktari ila ukimpeleka shule anatoka nduki..... huyu ni Taahira mdau nakushauri nenda kwa mjumbe wa mtaa wa hapo na kamati ya watu wa mtaani hapo Serikali itakuwa ni mbali najuwa Mjumbe amekaa tu kibarazani hana kazi zaidi ya kusubiri kesi zisizo na msingi za mwizi wa kuku na kuibiana wapendwa huyo mjumbe mshikilieni mpaka kieleweke...... Zamani Shule ya Msingi ya Uhuru Kariakoo ilikuwa nzuri sana kwa watoto kama hao wanafundishwa wanakuwa na nizamu na wanaelewa sie watoto Taahira tunawaona ah ndio Taahira.
 
ha ha ha....hii mbinu wanayotumia....hata kama hujaulambia utatoa tuu kuepeka kupakwa kinyesi
Kenya wapo hao, Nairobi.Anakuonyesha kinyesi mkono mmoja na mwingine anaomba pesa.Kama umeulamba unatoa tu, halafu hiyio harafu ndo balaa, lazima utoe something.
 
soon tu ngoja wakware wambemende, utaona kashavimba juu...miaka 16 si ni mkubwa kabisa huyo

Ha ha haa,halafu nashangaa sana,manake huyo mtoto yuko stendi wakati wote toka mwaka jana namwona lakini mpaka leo mateja hawajamvimbisha juu.
 
daaa yani sijui inakuwaje aisee kwa maana eniweiz hatua za haraka en hivi kwani hizo pesa anatumia kufanyia nini mmh maana chizi na pesa wapi na wapi
Hawezi akawa kichaa huyo, kuna mmoja alikuaga anapita madukani anaomba hela halafu mkononi kashika bonge ya jiwe ukikataa anatemea jiwe mate then anakutishia nalo mpaka Umpe hela, ila alikua anaenda maduka yanayouzwa na wanawake tuu, akikuta mwanaume haingii, sikumoja tukaweka wanaume wakamkamata na kumpigaa,, kweli hatujamwonaga tena tena,, na Huyo akipigwa ataacha!
 
Nasikia wakati mwingine wanamuwahi wanampiga sana lakini wapi mchezo wake ni huohuo,halafu kupiga sio nzuri sana manake anaweza kuzimika hapohapo ikawa murder kesi tayari.
 
du! huyu bi dada namjua tena akiomba anakuvuta kama ugomvi,bahati cjakutana na meno! hii ni balaa
 
Huyo anatumiwa na mtu kuomba pesa na amekuwa trained kutofautisha jinsia. Hawataweza kumvimbisha cuz ndie anawaletea hela.
 
Anatakiwa akamatwe atiwe ndan kwan ni mhalifu.

Hili ni wazo zuri,inapotokea amefanya hivyo anakamatwa anapelekwa polisi na mashitaka yanafunguliwa na ushaidi unapelekwa mpaka anafungwa.Huu ni uhalifu mkubwa manake kwa kungata mtu anaweza kusambaza magonjwa.
 
Huyo anatumiwa na mtu kuomba pesa na amekuwa trained kutofautisha jinsia. Hawataweza kumvimbisha cuz ndie anawaletea hela.

Nakubaliana na wewe inawezekana kabisa manake jiji hili lina mambo mengi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom