Msaada kuhusu mkopo katika Bank

Enorme

Member
May 16, 2015
13
7
Naomba mnisaidie ndugu zangu. Nna hekari 4 za miti aina ya pines zenye umri wa miaka mitatu (3) nahitaji kwenda kukopa bank na hayo mashamba yawe ndio asset katika huo mkopo na nahitaji 20ml. Je naweza kupata? Na taratibu zake ziko vipi mpaka wakatoa huo mkopo? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
 
Naona Loan officers wako bize kidogo ....

Ngojeni saa 11 hivi watapita hapa
 
Back
Top Bottom