Msaada kuhusu matrekta ya Massey Ferguson

Kishaju naomba unipe ushauri nataka kwenda south sudan (juba) wiki ijayo. Kutafuta kazi nina degree ya Electronics and Telecommunication Engineering. KUna post yako niliona una discuss about juba. Vp mazingira ya kazi na nafasi za kazi kule zinapatikana na wewe bado una ishi huko
 
Mkuu hizo weeding machine ziko je? Tafadhali weka bei, picha, ni uzed au ni mpya, zinatimia trector au ni kama power tiller? Mkuu ingia ndani kidogo uweleweke? Hatupo wote ndio maana tunstumia huu mtandao. Zimetoka China au ni Indi? Spare parts inakuaje? Nipo interested lakini weka details zote kama kweli unamaanisha biashara. Zipo wapi?
 
Bado niko interesred na Matrekta,je ya Mikopo yanapatikana?na wapi?je nikiagiza used toka nje itagharim kiasi gani?na je yanalipiwa kodi pale BANDARINI?
 
Mkuu nimefanya kaz hizo tractor simchezo moja ilikua 390e na290e kaka acha mchezo ziko vzr sana 290ilinunuliwa ubungo pale carjunction kwa 25ml 390 ilinunuliwa shamba la chai pale iringa.. Spare zipo sema uko wapi kuna fundi anazunguka kote
 
Bado niko interesred na Matrekta,je ya Mikopo yanapatikana?na wapi?je nikiagiza used toka nje itagharim kiasi gani?na je yanalipiwa kodi pale BANDARINI?

Mi sikushauri kuagiza used toka nje, kama ni used bora ukatafuta humu humu nchini ukishirikiana na fundi wazoefu, hayo ya nje ni rahisi kubambikwa

Kuhusu kodi ni usanii fulani kwa kwa kweli. Port charges unalipa kama kawaida, kodi (VAT, Import duty na exercise duty) sawa hulipii, ila ni kwa trekta tu. Jembe, haro sijui tela unalipia ushuru kama kawaida, ndo ujinga uliopo!! yaani trekta sijui utalitumiaje bila hizo accessories
 
Thanks mdau,ila used hapa Bongo labda liwe trekta la manispaa/Halmashaur la kubebea taka,ila used la Kibaigwa huko kweli litakuwa strong?kuna mdau nimemsoma hapa amesema yapo used frm abroad yakija hapa unayapiga fosmetics kidogo yanadunda
 
Mkuu hizo treka nzuri sana sisi tunatumia kutembelea hasa weekend tunakwenda nazo mjini au beach kwa kweli hzo trekta pia unaweza kutumia kwenye mashindano ya magari na lazima ushinde
 
Thanks mdau,ila used hapa Bongo labda liwe trekta la manispaa/Halmashaur la kubebea taka,ila used la Kibaigwa huko kweli litakuwa strong?kuna mdau nimemsoma hapa amesema yapo used frm abroad yakija hapa unayapiga fosmetics kidogo yanadunda

Ndo maana nimesema ukimshirikisha fundi mzoefu utapata zuri tu mkuu, utalikarabati tu kidogo linakuwa mwake. Tena unaweza kuta hayo yanabeba taka ndo mdebwedo balaa, manake ni nadra sana mtu asombee taka trekta lake kali badala ya kulipeleka shamba akale hela ndefu.

Ujue trekta la kulima wazoefu wanaangalia engine na hydraulic sytem baaasi, mengine mbwembwe tu. Ndo maana nimekushauri umtumie fundi mzoefu.

Kuna jamaa yangu analo, tena aliagizaga jipya na upya wake, lina kila kitu kwa maana ya jembe, haro na tela. Baadae jamaa akapata mchongo wa kazi ya maana huko Sudan, akalipaki tu kwake kwa kuhofia kumkabidhi mtu alisimamie. Baada ya kuona limekaa tu sasa hivi analiuza, mi nilikuwa nalitamani sana sema sijapata huo mkwanja anaotaka. Maana anataka 50M lakini unachukua kila kitu. Nilipelekana fundi mmoja hivi mzoefu akalikubali sana, akadai marekebisho hata hayafiki laki tatu au tano tukiamua na kununua betri jipya
 
Kwa mtu unayetaka kufanya kilimo na km mtaji ni mdogo tractor usijisumbue kununua mpya hizo mnazosema mpya ni mpya kweli ila zinatengenezwa na kutoka pakistan ubora wake ni mdogo sana.mimi na deal na mambo ya kilimo massey ya pakistan mfano Mf 385 huwezi kulinganisha na used Mf 255 ktk kilimo Mf 255 inaweza kulima 24hrs bila shida wkt Mf 385 ya Pakistan kwa 24hrs haiwezi inapata sn moto ninazo zote 2.mfano mwingine kwa muda huu zipo liwale zinasomba ufuta Massey 255 used naipakia viroba mpaka 110 vya ufuta wkt Massey 385 niliipakia viroba 100 ikachemsha nikashusha 20 kiroba wastan kina kilo 60.nazikodisha huko liwale kijiji cha kibutuka kusomba ufuta km kwa ushauri yoyote ani pm maana muda mwingi nakuwa polini net zinasumbua.na kwa atakayetaka ushauri wa kupata tractor mpya na used ntampa na hata aina nzuri za kununua ntamshauri
 
CIF DAR USD 15000

MF 3060 Horse Power 90
MF 675 Horse Power 75
JD 2040 Horse Power 70
Fiat 666 DT Horse Power 70

Yote ni 4WD

m1.jpg m2.jpg m3.jpg m4.jpg m5.jpg m6.jpg m7.jpg m8.jpg m9.jpg m10.jpg m11.jpg m12.jpg m13.jpg m15.jpg m16.jpg
 
Kumbe inawezekana kununua trekta na kulipa kwa awamu..........ngoja nijipange, mwakani ninunue la kwangu nifanye kilimo cha kisasa chenye tija.
 
Kwa mtu unayetaka kufanya kilimo na km mtaji ni mdogo tractor usijisumbue kununua mpya hizo mnazosema mpya ni mpya kweli ila zinatengenezwa na kutoka pakistan ubora wake ni mdogo sana.mimi na deal na mambo ya kilimo massey ya pakistan mfano Mf 385 huwezi kulinganisha na used Mf 255 ktk kilimo Mf 255 inaweza kulima 24hrs bila shida wkt Mf 385 ya Pakistan kwa 24hrs haiwezi inapata sn moto ninazo zote 2.mfano mwingine kwa muda huu zipo liwale zinasomba ufuta Massey 255 used naipakia viroba mpaka 110 vya ufuta wkt Massey 385 niliipakia viroba 100 ikachemsha nikashusha 20 kiroba wastan kina kilo 60.nazikodisha huko liwale kijiji cha kibutuka kusomba ufuta km kwa ushauri yoyote ani pm maana muda mwingi nakuwa polini net zinasumbua.na kwa atakayetaka ushauri wa kupata tractor mpya na used ntampa na hata aina nzuri za kununua ntamshauri
mkuu naona wazifahamu sana unawea nifanyia mpango japo nipate used?
 
Back
Top Bottom