Msaada kuhusu MA kutoka Makerere

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Wanajanvi naombo msaada kuhusu kusoma MA pale Makerere kwa M7,vipi gharama zake katika kitivo cha elimu au sanaa ya sayansi ya jamii.Vipi kuna shule na facilities au tia maji bora liende.Na je hapa TZ mtazamo na kukubalika inakuwa je?Natanguliza thanks.
 
Gharama hazipo juu sana ,kama utakuwa una uwezo wa kujilipia vyuo kama Tumaini University,UDOM,Mzumbe,UDSM- Makerere utaweza .Gharama zake ziko chini zaidi ya vyuo vya Bongo for more info http://mak.ac.ug/documents/2011AR/GraduateAdmissions20112012.pdf .Suala la msingi ni uwe na sifa za kuwa admitted coz Jamaa wanafuatilia sana vigezo kutokana na fani unayotaka kusoma.
Kuhusu ubora wapo Mbele ya chuo chochote unachokijua East and Central Africa .Kwa Africa ni chuo cha 10 kwa ubora ikiongozwa na vyuo 8 kutoka SA na 1 kutoka Misri. Source ;Ranking Web of World universities: Top Africa
 
Mkuu nimekupata bt vipi hapa tz inakubarika si unajua tena
 
isipokubalika utakuwa uchizi uliokubuhu, elimu ya tanzania imebaki kwenye history!makerere ni ya kumi africa udsm ni ya 38.shame on us!hivi rais wa nchi hii atachaguliwa lini????
 
Makerere is among the best since then ,unaweza angalia watu waliopita pale kujua kwamba kinatambbulika ama la! ,eg.H.E President Mwai Kibaki(History and Political Science at Makerere University College, Kampala, Uganda. During his studies, he was chairman of the Kenya Students' Association.In 1955, he graduated as best student of his class, and was therefore awarded a scholarship to undertake further studies in the United Kingdom, obtaining a M.Sc. with distinction in Public Finance at the London School of Economics), H.E Benjamin William Mkapa(Immediate Ex-President of the Republic of Tanzania),Bishop John Tucker Mugabi Sentamu (He is the 97th Archbishop of York, Metropolitan of the province of York, and Primate of England. He is the second most senior cleric in the Church of England, after the Archbishop of Canterbury, and the first member of an ethnic minority to serve as an archbishop in the Church of England)..,Professor Apollo Nsibambi(Prime Minister of the Republic of Uganda and Outgoing Chancellor of Makerere University ), .Zipo jokes kuwa Jakaya anaongoza nchi vibaya kwa sababu ni kilaza hakusoma Makerere(Maneno tu ya kufurahishana).Chuo cha Makere kinajulikana sana kwa sababu kilikuwepo kabla ya vyuo vingine vingi unavyovifahamu wewe kwa East Africa kimeanzishwa 1922
Mkuu nimekupata bt vipi hapa tz inakubarika si unajua tena
 
Wewe mtu,huwezi kuzungumzia mafanikio ya afrca ktk elimu bila kuitaja makerere university.kiko juu sana mkuu,we kapge shule 2.
 
makerere aliposoma nyerere,,, Kama father house mzee nyerere Kapita huko basi jamaa wako juu,,, kweli yawezekana mkuu anazingua kisa alishindwa kwenda makerere, maana enzi hizo best students wanaenda makerere wanaobaki ndo wanakuwa enrolled udsm,,,,
 
makerere aliposoma nyerere,,, Kama father house mzee nyerere Kapita huko basi jamaa wako juu,,, kweli yawezekana mkuu anazingua kisa alishindwa kwenda makerere, maana enzi hizo best students wanaenda makerere wanaobaki ndo wanakuwa enrolled udsm,,,,

udsm hii inayosifiwa leo au udsm ipi hyo?
 
Back
Top Bottom