Msaada kuhusu loan...!

Charles Elias

Member
Aug 14, 2012
61
4
Jaman m nko admitted DUCE na nmepewa mil. 3.1 mkopo ila fee n mil. 1.3,ambayo n kama asilimia 57.9 hv!! Sasa hicho kiasi kinachobaki tunatakiwa kuwa nacho wakati wa kuripot au tutakipeleka semster Ya II?? Naomba msaada wa maelekezo juu ya hilo wanajamvi!
 
yani wewe ndo upo nyuma kiasi hicho best........ sa umewezaje kuingia jf wakati haujui pa kupeleka ada ya chuo....
 
yani wewe ndo upo nyuma kiasi hicho best........ sa umewezaje kuingia jf wakati haujui pa kupeleka ada ya chuo....

Kutokujua 2 bro! Tatizo c pakupeleka ada ila lini na kiasi gan kinahtajika kuongezwa kulingana na loan pamoja na fee ya kozi yenyewe?
 
unatakiwa kulipia either chote au kwa kila semester unalipia nusu...eg.unaweza kulipa 300,000 yote au kulipa 1st semester 150,000 then 2nd semester umalizie 150,000...
 
unatakiwa kulipia either chote au kwa kila semester unalipia nusu...eg.unaweza kulipa 300,000 yote au kulipa 1st semester 150,000 then 2nd semester umalizie 150,000...

Nashukuru xna mkuu nmekupata vyema hapo!
 
Back
Top Bottom