Msaada kuhusu Laptop used

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Jamani kuna mtu anataka kuchkua notebook used..sa ananiona mi ndo mtaalam kichz so ananambia nikamhakikishie kama ni nzuri/bora ama la kabla hajachukua ili asiende chaka..

Sa naombeni maujanja,kipi cha kuzingatia kabla mtu hajachukua used laptop?
 
test rahisi ni kuangalia movie
unavyocheki movie, sikiliza kama sauti inatoka vizuri (sound card check)
ukiffwd au rewind, inalag, yaani kukwama kwama (video card check)
unaskia sauti ya fan (fan check)
baada ya kucheki movie nusu saa, laptop imepata joto (fan and processor check)
minimise movie inavyoendelea na bonyeza start key thne angalia kama inakwama (more processor checking)
chomoa charger kwa power (batt check)

kwa kuangalia tu movie nzima, utaweza kujua kama mashine nzima
**leh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom