msaada kuhusu kutoa talaka

Kwanza nenda kuitaarifu polisi kuhusu hicho kisago unachopata, wao watakupa fomu ya hospitali na mahakamani. Pia Ustawi wa jamii, TAMWA wako makini na unyanyasaji wa kijinsia. Watakuunga mkono na kukusaidia.
Tukubali kuwa wanaume wengine (na wanawake wapo ingawa ni kidogo kuliko wanaume) ni maafande katika ndoa zao, wanapiga na wanatesa kimwili na kiakili. Mimi sidhani kama Mungu yuko na watu wa aina hii eti kwa sababu ya ndoa. Kama alivyosema mmoja wetu, ndoa ni makubaliano ya wawili, mmoja akienda kinyume na makubaliano hayo, hamna ndoa, tabu ni kuwa mmoja au nyote mnapoamua kuvunja mkataba huo ndio tena wanatokea wapambe, sijui mahakama, sijui padri. Dada, ikiwa ankutesa, iwe Mtanzania iwe Mchina, hastahiki kupewa hadhi ya mume.
"Wanaotesa wanawake ni waoga na wana matatizo ya kisaikolojia".
 
Katika Ukristo hakuna talaka. Nendeni kwa wazazi mkae mjadili ikishindikana Mnaweza kwenda Serikalini kitengo cha Kanseli wawape ushauri nini cha kufanya
 
Katika Ukristo hakuna talaka. Nendeni kwa wazazi mkae mjadili ikishindikana Mnaweza kwenda Serikalini kitengo cha Kanseli wawape ushauri nini cha kufanya

nani kakwambia ukristo hauna talaka? ikithibitika kuwa issue ni kwa sababu ya uzinzi talaka ipo, maana ukristo hauna ndoa ya watu watatu? ..... mtu asimwache mkewe isipokuwa kwa sababu ya uzinzi.

Na huwezi kusisitiza kuwa talaka hakuna ilhali ndoa is turning to be hell to one or both partners and there is a threat of loosing life
 
mi nadhani hapa akipatikana mwanasheria anayeijua vizuri sheria ya ndoa na namna ndoa inavyoweza kuvunjika itatusaidia wote, kuliko kila mtu kuongea anavyodhani ni sahihi

mwansasheria hawezi kusema zaidi ya alichosema mtu mmoja (soma post #12)....................
 
pole dada maana haya nimajaribu ndani ya ndoa wengine tunaataka kuacha wake wengine wananayaswa na wanaume dunia hii Mungu atusaidie na atuaptie hekima zaidi
 
Back
Top Bottom