King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,781
Sheria na mkataba sijui kama kipi kina nguvu zaidi. Nimeona contracts zingine mwajiri anataka notice ya 3 months ama 1 month salary in case of 24 hrs notice. Mingine inataka one month notice. Nadhani inategemea na umuhimu wa position.
Umewahi kutana na mkataba unakuambia 'unategemewa kuwepo nasi walau kwa miaka 5, otherwise utarudisha gharama zote za trainings ulizopelekwa ikiwemo usafiri na malazi!' Huwa namshangaa sana mtu asiyesoma mkataba kabla ya kusaini!

Sawa, lakini sheria ya kazi (at least iliyowekwa hapa) haim-mandate mwajiriwa kumlipa mwajiri wake endapo ataacha kazi ghafla.