Kacharimbe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 211
- 34
- Thread starter
- #81
Dena nimeeleza wazi kuwa mwajiri wangu hakunipa mkataba wowote leo ninapofikiria kuacha kazi. Nilipofaulu interview nilipewa nilipewa letter of appointment. Probation period ilikuwa ni miezi 6 baada ya hapo nitakuwa naingia mkataba wa miaka mitatu mitatu. Probation period iliisha na mkataba sikupewa. Leo ni mwaka wa tatu sina contract na mwajiri. Haya kazi kwako kushauriWewe muuliza swali ngoja nikuulize........
Wakati ukisaini huo mkataba ulliusoma??? Na kama uliusoma ulisemaje??
tuanzie hapo ndo tuendelee................
Sabaabu kwa mfano mimi niliwahi kusaini mikataba mbalimbali
Mmoja ukasema ukitaka kuacha kazi toa notice ya miezi mitatu au ulipe mshahara wa mwezi mmoja
Na mwajiri akikufukuza kazi anakulipa mshahara wa mwezi mmoja na kama unaarreas za leave anakulipa
Mwingine ukasema mwajiri akikufukuza anakulipa mshahara wa mwezi mmoja
Na ukitaka kuacha kazi utoe notice ya mwezi mmoja ama ulipe mshahara wa mwezi mmoja.
Inategemea na vile mlivyokubaliana kama wewe ulisaini bila kusoma imekula kwako
Hapa sheria haihuu saana sababu yeye atabezi kwenye kile mlichosainishana unless otherwise.