Msaada kuhusu kodi ya kampuni TRA

JF2050

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
2,085
40
Wadau habarini za jioni,


Nimesajili ltd company kama miezi kadhaa iliyopita na nilitegemea hadi kufikia mwisho wa mwaka huu ningeanza kufanya biashara na kuanza kulipa kodi TRA pia, lakini bado nipo kwenye mchakato wa kufanya maandalizi, na huenda ikanichukua mwaka mzima. Hii ni kwa sababu naandaa mazingira endelevu ya biashara na ni biashara inayohitaji mipangilio ya muda mrefu.

Nataka kuiandikia TRA barua kuiambia iniongezee muda wa kutonidai kodi kwani biashara bado haijaanza. Je, TRA wanaweza kunipa muda wa kujiandaa hadi mwaka (miezi 12)?

Ahsanteni

classics
 
Kwani walikwambia ukiandikisha ltd comoany unalipa mapato wskati huo huo hata kama certficate yakr umeiweka sandukuni tu? Ninachojua mimi unalipa mapatp pale unapo anza biashara yenyewe hasa hasa ni baada ya kufanya mikokotoo ya kutafuta faida mwidho wa mwaka wa biashara iliyofanywa tayari.
 
Back
Top Bottom