Msaada kuhusu Import duty ya TV na Music systems

mzeemzima

Senior Member
Apr 14, 2010
122
78
Wandugu, naombeni ushauri wenu, nimejaribu kupita pita madukani kutaka kununua television ambazo ni full HD, na music system,nimeshangaa kuona bei ya TV hizi hapa kwetu wakati mwingine inafika mpaka mara tatu ya bei za nchi kama Marekani, mpaka nimefikia kufikiria kugiza kutoka huko. wazoefu wa haya mambo mnafikiri hili ni wazo zuri? naomba pia kama kuna mtu anayejua import duty ya television na music systems anisaidie.

Kuna sehemu/nchi nyingine yoyote karibu amabayo vitu hivi vinapatikana kwa bei nzuri

Asanteni
 
kama unataka kujua import duty is 25% , jumlisha 18% VAT

ulitaka fahamu nini haswaa?
 
Wandugu, naombeni ushauri wenu, nimejaribu kupita pita madukani kutaka kununua television ambazo ni full HD, na music system,nimeshangaa kuona bei ya TV hizi hapa kwetu wakati mwingine inafika mpaka mara tatu ya bei za nchi kama Marekani, mpaka nimefikia kufikiria kugiza kutoka huko. wazoefu wa haya mambo mnafikiri hili ni wazo zuri? naomba pia kama kuna mtu anayejua import duty ya television na music systems anisaidie.

Kuna sehemu/nchi nyingine yoyote karibu amabayo vitu hivi vinapatikana kwa bei nzuri

Asanteni

Total Value( Customs Value: CIF) Dar Es Salaam, 25% na 18%. Mfano kama Smart TV ya samsung Nch 32 ni dola 900 basi kodi yake ni 900x25%= 225(225+900)=1125x18%=205.50, hivyo 225+205.50 = 427.50 USD. Kodi ni 427.50,pia kutakuwa na gharama nyengine ndogondogo kama za shipping na handling pamoja na agency fees.

Kama ni mpenzi wa Samsung tembelea JMall pale Freedom wana tv nzuri tu za kisasa full HD na 3D,kama ni mpenzi wa Make nyengine pia shuka na hiohio Samora karibu na Sapna walipokuwepo City Furtniture zamani utapata TV nzuri sana of the same features. Natumai nimekusaidia.
 
duh, mbona kama wizi huo?? a 40% levy on imported electronics, lini wabongo wataweza afford vifaa vya maana? goddamned country :/
 
Ndugu yangu hizo ndo rate za kodi za Tanzania, baadhi ya wakati unakuja kuona kodi ni kubwa ukilinganisha na thamani halisi ya item yako.
 
siku zote nilikuwa nawalaumu retailers wa electronics kwa kuweka unbelievable prices, kumbe wabaosababisha ni serikali
 
duh, mbona kama wizi huo?? a 40% levy on imported electronics, lini wabongo wataweza afford vifaa vya maana? goddamned country :/

Mara mia ukanunu bidhaa hiyo hiyo bongo kuliko kuagiza. Sababu ni kwamba bidhaa za bongo zinakwepwa sana kodi, hivyo sometimes bei inakuwa chini. Take it from me. Sony Bravia brand new, 42" kwa 1,700,000/-. Ingekuwa nimetoka nayo nnje ya nchi nisingepata kwa bei hiyo.
 
wait, sijaelewa. ni zipi zinakuwa taxed na ni zipi ni exempt?
nisamehe but nipo very ignorant ikifika kwa matters pertaining to affairs in the country
 
Exemption(misamaha ya kodi) hutolewa kwa watu maalumu(WAEKEZAJI) na kwa vitu maalum kama capital goods, pia kuna unafuu wa baadhi ya bidhaa kwani huwa na 0 rate kama computers, au nyengine unalipia asilimia 18 tu ya VAT,pia kuna baadhi ya bidhaa unalipia 25% 10%,kodi nyingi zipo kwenye magari ambayo hasa yenye uchakavu rate zake sana ni 25%,20%,10% or 5% na 18%.
 
wait, sijaelewa. ni zipi zinakuwa taxed na ni zipi ni exempt?
nisamehe but nipo very ignorant ikifika kwa matters pertaining to affairs in the country

Ndugu leh, hakuna mahali nimeongelea "tax exemption" katika post yangu hapo juu. Usininukuu vibaya. Nimeongelea 'ukwepaji' kodi.
 
Last edited by a moderator:
duh, mbona kama wizi huo?? a 40% levy on imported electronics, lini wabongo wataweza afford vifaa vya maana? goddamned country :/

na kwa taarifa yako hyo ni ndogo, kuna kitu kinaitwa execise duty mara nyingu huwa inatumika kwenye magari na zipo za aina mbili (execise duty o age & execise duty on cc) mwisho wa siku ndo utaona kodi inachukua hadi 2/3 ya cost of imported luxurious used vehicle.
 
Back
Top Bottom