Msaada kuhusu ibook G4 ndugu wadau

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
Nimenunua ibook G4 kutoka kwa mtu, Na nilikua nataka
1.kuifuta kila kitu katika mtindo wa kuformat,lakini sina Mac OS CD na wala sifahamu procedures to follow

2.Nikijaribu kuchomeka cd yoyote inakuwa rejected na kuwa ejected

3.nikichomeka external Mayb niweze kucheki Movie quickplayer inasema kama inahitaji some update, Kama kuna plugins zimemiss

4.Inaonekana mwenye hii laptop aliwahi kuweka password so nikijaribu kuchange account ili mimi ndo niwe admin inanitaka niingize password ambayo siifahamu

5.itunes (labda ni ushamba wangu) Mbona haiplay movies? Naona ina play music tu...

guys toeni msaada katika haya niwakubali daima, Hata kama kuna fundi ani PM nimtafute tafadhali

Please do the needful
Regards
mojoki
 
Inatumia OS version gani? Hiyo itakuwa nzee kidogo ndo matatizo ya uzee unaisumbua. Pia Kama cd zinatemwa pia optic drive might be done u wil need mpya. Lakini pia unaweza upgrade na file ukidownload online
 
Back
Top Bottom