msaada kuhusu hisa za TBL

wanaJF ninaomba kusaidiwa kiushauri kuhusu hisa za TBL

Swali lako ni pana sana. Unataka msaada wa namna gani?
Una hisa za TBL na unahitaji ushauri wa namna ya kuziuza?
Unahitaji kununua hisa lakini hujui taratibu?
Unataka kujua kama kuwa na hisa za TBL kunalipa?
Unataka kujua bei ? n.k. n.k.

Wasaidie wajuzi ili wakusaidie.
 
aksante mwanajamvi,ninataman kununua hisa zao,nimebahatika kupata maelezo ya kifedha na mahesabu yao lakin cjayaelewa,hvyo kwa yeyote yule nahtaji kufahamishwa kama hisa zao znalipa na kufaa kununuliwa?
Aksante
 
Mkuu zinalipa sana tu ila ukizitaka hupati kwani watu hawaziuzi mara ya mwisho nilipotembelea DSE pale waliniambia zinauzwa 1800 per share ila uache hela mpaka akijitokeza mtu anaziuza ndo waninunulie, pia naza sigara zinalipa ila ndo hazipatikani kabisaaa
 
aksante mdau,lakin mbona wametangaza kuuza hsa zao kupitia mabenki na wakala wengine kuanzia 04 to 25 nov.nadhan ni mudaa mwafaka wa kuzinunua kama kweli znalipa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom